Aibu 😆😆😆😆Marco Rubio anasema mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Iran yameisha, akisisitiza kuwa operesheni hiyo imefikia malengo yake. Alisema lengo lilikuwa kudhoofisha uwezo wa makombora ya Iran, ambayo yalikuwa yakitumika kulinda mpango wake wa nyuklia.
"Operesheni Epic Fury imekamilika. Tumefikia malengo ya operesheni hiyo."
Sasa Marekani inaelekea kwenye shinikizo la kiuchumi na diplomasia huku ikiendelea na juhudi za kushughulikia mpango wa nyuklia wa Iran na kudumisha usalama katika Mlango wa Hormuz.
Nani umeona anashabikia vita?Inashangaza kuona baadhi ya watu mnawashabikia vichaa wachache wanaopenda kuona dunia inakuwa ni uwanja wa vita, fujo, mauaji, eneo la kuyafanya maisha ya binadamu wengine kuwa magumu, nk. Hakika inashangaza sana.
Unapochagua kuwashabikia vichaa wachache wanaoigeuza dunia kuwa eneo la mateso na mauaji kwa binadamu walio wengi ili kuzifurahisha nafsi zao, ni sawa tu na kushabikia matendo yao ya uovu.Nani umeona anashabikia vita?
Binafsi sijawahi kukuona wewe ukikemea mauaji yanayofanywa na magaidi isipokuwa nakuona tu unaibuka kipidi magaidi wanapopigwa kwa ugaidi wao!!Unapochagua kuwashabikia vichaa wachache wanaoigeuza dunia kuwa eneo la mateso na mauaji kwa binadamu walio wengi ili kuzifurahisha nafsi zao, ni sawa tu na kushabikia matendo yao ya uovu.
Mimi siungi mkono magaidi, mauaji au uonevu wa aina yoyote ile kwenye hii dunia inayotamani kuona sisi binadamu tunaishi kwa furaha, upendo na amani.Binafsi sijawahi kukuona wewe ukikemea mauaji yanayofanywa na magaidi isipokuwa nakuona tu unaibuka kipidi magaidi wanapopigwa kwa ugaidi wao!!
Kwa lugha rahisi unafurahia wakati magaidi wanapoua watu wasio na hatia lakini unaumia sana wakati Magaidi wanapovuna walichokipanda!!!
Hujawahi kuwakemea walichokifanya Oct 07,2023 huko Israel. Hapo ndipo nilipojua kua wewe ni mtetezi wa MagaidiMimi siungi mkono magaidi, mauaji au uonevu wa aina yoyote ile kwenye hii dunia inayotamani kuona sisi binadamu tunaishi kwa furaha, upendo na amani.
Walichokifanya Hamas siku ya Oktoba 7, 2023 hakikuwa kitendo halali! Lakini pia kitendo cha Israel kuwanyanyasa Wapalestina miaka nenda kwa kuwaua, kuwafunga, kuwatesa, kuwanyang'anya ardhi yao, nk. kiasi cha kuwajengea chuki nyingi mioyoni mwao; pia ni kitendo kisicho vumilika.Hujawahi kuwakemea walichokifanya Oct 07,2023 huko Israel. Hapo ndipo nilipojua kua wewe ni mtetezi wa Magaidi
Hii vita imeisaidia nini nchi yako..?Nani umeona anashabikia vita?
Iran anapaswa kukemewa kwa nguvu zote. Ni threat ya amani kwa dunia yoteWalichokifanya Hamas siku ya Oktoba 7, 2023 hakikuwa kitendo halali! Lakini pia kitendo cha Israel kuwanyanyasa Wapalestina miaka nenda kwa kuwaua, kuwafunga, kuwatesa, kuwanyang'anya ardhi yao, nk. kiasi cha kuwajengea chuki nyingi mioyoni mwao; pia ni kitendo kisicho vumilika.
Kama tunataka kuongelea kipengele hicho, basi Marekani na Israel ndiyo nchi tishio kabisa kwa usalama wa dunia!Iran anapaswa kukemewa kwa nguvu zote. Ni threat ya amani kwa dunia yote
Ni wazi kwa namna moja au nyingine si mfuatiliaji wa haya mambo. Iran ndio msambazaji mkubwa wa silaha kwa vikundi vya kigaidi kama Hamas, Hezbollah, Houths na Lebanon. Hawa wote wamekua tishio kwa matamshi na matendo ovu kwa Israel na ukanda ule wote.Kama tunataka kuongelea kipengele hicho, basi Marekani na Israel ndiyo nchi tishio kabisa kwa usalama wa dunia!
Na siyo Iran ambayo mpaka inakuja kushambuliwa na haya mataifa mawili chokonozi, wala haikuwa na athari yoyote kwa uchumi wa nchi yako! Lakini baada ya vita yao, nini kimetokea? Mafuta yamepanda bei mara dufu!
Marco Rubio anasema mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Iran yameisha, akisisitiza kuwa operesheni hiyo imefikia malengo yake. Alisema lengo lilikuwa kudhoofisha uwezo wa makombora ya Iran, ambayo yalikuwa yakitumika kulinda mpango wake wa nyuklia.
"Operesheni Epic Fury imekamilika. Tumefikia malengo ya operesheni hiyo."
Sasa Marekani inaelekea kwenye shinikizo la kiuchumi na diplomasia huku ikiendelea na juhudi za kushughulikia mpango wa nyuklia wa Iran na kudumisha usalama katika Mlango wa Hormuz.
Walichokifanya Hamas siku ya Oktoba 7, 2023 hakikuwa kitendo halali! Lakini pia kitendo cha Israel kuwanyanyasa Wapalestina miaka nenda kwa kuwaua, kuwafunga, kuwatesa, kuwanyang'anya ardhi yao, nk. kiasi cha kuwajengea chuki nyingi mioyoni mwao; pia ni kitendo kisicho vumilika.
Huu ni UHARO mtupu!!Lazima atoke mbio Echolima1 !!!
mana kwake yeye tukio ni 7 October tu!!!!@
kabla yake mauwaji dhidi ya wa Palestine kwake ilikuwa sawa kunyang,anywa Ardhi yao kwake sawa!!!
Kimsingi na Kisheria za kimataifa Hamas hawajavamia Ardhi yoyote ya Israel !!
eneo lile lipo ndani ya mipaka ya Palestine inayotambuliwa na UN.
Ndiomana kulitokea mzozo ktk ya katibu mkuu wa UN na Marekani pamoja na Israel !!!
sababu katibu mkuu hakulaani kile kimepachikwa jina kinaitwa Uvamizi kwenye eneo lake!!!
Yani ipo ivi nina shamba kisheria zote wanatambua Shamba langu katokea mvamizi kwenye Shamba langu!!!
mm nikaenda mtoa mvamizi kukatokea mauwaji sasa Israel na Marekani wanataka Dunia imlaani mwenye Shamba.!¿¿¿
Na sio mvamizi wa kwanza chanzo kikuu cha tatizo.!!!
Katibu wa UN kagoma ilichukua muda kulaani lkn kwa mafumbo!!!!!
Akilalamika pia matendo ya Israel kwa wa Palestine..
Dunia inakimbia kwa kasi sana kupigania haki za wanyonge!!!
Uko Marekani university zao neno Palestine linanguvu kubwa kwasasa kuliko neno Israel!!
Zote hizo ulizoziandika hapo ni Propaganda za waislam/ waarabu ambazo mmemezeshwa uongo Waarabu-koko.Lazima atoke mbio Echolima1 !!!