"Operesheni Epic Fury imekamilika. Tumefikia malengo ya operesheni hiyo."-Sec Marco Rubio

USA wamepokea kichapo kuliko maelezo.

Hawajui washike kipi waache kipi.
Yaani wewe mmatumbi ukisema USA wamepokea kichapo kuliko maelezo inatosha kuwa kweli!!

Maharage ya jana uliyoyala yanakusumbua sana!!
 
Tafuta kazi ufanye wewe mlokole bandia!
 
Sio size yako .
Kila siku tumekamilisha ndio mlango wa kukimbia uwanja then baadaye mnakuja na kauli za kushambulia kitu mlichodai kukamilisha kuharibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…