Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kama tulivyoahidi kuwavurumishia taarifa zote za operesheni haki inayoendelea kote nchini Tanzania, leo tena tunaendelea kuwaletea yanayojiri huko Pemba, ambako tayari Mwamba Mbowe ameishawasili huko Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba , na Kupachikwa jina jipya la USTAADHI ABUBAKAR MBOWE.
Mh Mbowe anatarajiwa kuongoza vikao vya majadiliano vya Kamati ya Utendaji ya CHADEMA mkoa wa Kusini Pemba.
Mh Mbowe anatarajiwa kuongoza vikao vya majadiliano vya Kamati ya Utendaji ya CHADEMA mkoa wa Kusini Pemba.