Trillion
JF-Expert Member
- Apr 24, 2018
- 3,330
- 7,494
Vumilia legacy ya Mwendawazimu, mambo bado!Hii ziara ya Mbowe imekosa kabisa mvuto, watu hata hatuifatilii. Hilo ni anguko kubwa sana la Mbowe na CHADEMA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vumilia legacy ya Mwendawazimu, mambo bado!Hii ziara ya Mbowe imekosa kabisa mvuto, watu hata hatuifatilii. Hilo ni anguko kubwa sana la Mbowe na CHADEMA.
Kwa kuna ufuatiliaji tofauti na huu unaoufanya hapa JF......!!?Hii ziara ya Mbowe imekosa kabisa mvuto, watu hata hatuifatilii. Hilo ni anguko kubwa sana la Mbowe na CHADEMA.
Kama tulivyoahidi kuwavurumishia taarifa zote za operesheni haki inayoendelea kote nchini Tanzania, leo tena tunaendelea kuwaletea yanayojiri huko Pemba, ambako tayari Mwamba Mbowe ameishawasili huko Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba , na Kupachikwa jina jipya la USTAADHI ABUBAKAR MBOWE.
Mh Mbowe anatarajiwa kuongoza vikao vya majadiliano vya Kamati ya Utendaji ya CHADEMA mkoa wa Kusini Pemba.
View attachment 1843215
View attachment 1843293
View attachment 1843294
View attachment 1843295
Jina la Chama gani? Kwani chama cha Mbowe bado kipo? Mbona wewe mwenyewe ulitwambia kilishatoweka tangu Babu wa Mihogo arudi CCMMbowe kwa sasa hana jipya, ni basi tu jina la chama linambeba.
Watu wanaopenda na kutetea haki, nyuso zao zinapendeza na kuvutia kama ilivyo mioyp yao.
😆😆😆😆Watu wanaopenda na kutetea haki, nyuso zao zinapendeza na kuvutia kama ilivyo mioyp yao.
Lakini kwa upande mwingine, mijitu minafiki isiyopenda haki, hata ikavaa nini, hata yakawa vijana, utadhani ni vikongwe. Mtazame Polepole, bila kuutafuta umri wake halisi, kwa muonekano tu, niambie anaweza kuwa na umri gani?
Au KabudiHajawahi kuniangusha! Nimejifunza kumpa mwanao jina zuri kunasaidia sana, sasa mtoto unamuita Shaka!! Au Pole Pole au Ndugai! Au yule kibaka mwingine then unatarajia the best from him! Real?