Operesheni Haki: Freeman Mbowe awasili Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba

Operesheni Haki: Freeman Mbowe awasili Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba

Hii ziara ya mbowe imekosa kabisa mvuto, watu hata hatuifatilii.
Hilo ni anguko kubwa sana la mbowe na chadema
Kwani umeambiwa huyu ni sawa na yule dhalim ambaye alitaka hata akipiga chafya Tanzania nzima ijue. Sisi wahusika tunafuatilia wewe kamfulie mumeo boxer zake tu ungoje kuliwa usiku
 
Mzee Mbowe angebaki mshauri wa chama akaachia damu changa ya vijana kuchukua uenyekiti. Vijana wengi tunataka mabadiliko lakini mzee zama zake zimeshapitwa na wakati.
Nyie mataga haya ya huku hayawahusu, endeleeni kujenga sanamu ya fashisti mwendazake
 
BAVICHA_&_CHASO_on_Instagram:_“Mwenyekiti_wa_Chadema_Taifa_Mhe._@freemanmbowetz_akihutubia...jpg


Ustaadhi Abubakar Mbowe akihutubia kamati ya Utendaji
 
Kwani leo ijumaa mbona kavaa kanzu au ndio kutaka kukubalika na jamii ya wapembaaaaa?haisaidii bora tu angevaaa jinzi yake na tshirt yake ya chama
 
Kama tulivyoahidi kuwavurumishia taarifa zote za operesheni haki inayoendelea kote nchini Tanzania, leo tena tunaendelea kuwaletea yanayojiri huko Pemba, ambako tayari Mwamba Mbowe ameishawasili huko Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba , na Kupachikwa jina jipya la USTAADHI ABUBAKAR MBOWE.

Mh Mbowe anatarajiwa kuongoza vikao vya majadiliano vya Kamati ya Utendaji ya CHADEMA mkoa wa Kusini Pemba.

View attachment 1843215
View attachment 1843293
View attachment 1843294
View attachment 1843295
Akirud huku Utaskia Anamtukana Rais hatak mikutano ya Kisiasa wakat Tz nzima anazunguka
 
Back
Top Bottom