Mnahangaika tu nduguBaada ya kukamilisha Operesheni Haki kwenye kanda 10 za Tanzania kwa mafanikio makubwa , sasa ni zamu ya Kimataifa , Tundu Lissu , John Mnyika pamoja na mwamba mwenyewe Freeman Mbowe kuunguruma kidigitali .
Wote Mnakaribishwa .View attachment 1856426
Mkuu..kwa hili takataka la hapo Kongwa, MUNGU anakaribia kutufanyia wepesi. Muda si mrefu tutarudi kati na kuanza upyaaaa.
Wengine tumeishi Huko nje...wengi waliopo Huko ni wababaishaji hawajielewi..hawana pesa...wanafanya kazi za hovyo hovyo..sijui huo uwekezaji wanaotaka kufanya ni upi? Mbona wageni wanawekeza bila ya kuwa watanzania? Walikuwa watanzania wakaukana utanzania wao mnataka Nini Sasa? Mkiruhusu ujinga huu mtatuletea waganda watanzania...wakenya watanzania..wakongo watanzania..wanaigeria watanzania...tutaona wimbi la wageni hapa wakioa au kuolewa na watanzania ili kupata hiyo fursa...nyie wakina mbowe na wenzako baada ya miaka ishirini mtakuwa mmekufa sijui Kama mnaliona Hilo...piganieni vitu vya msingi kwa watoto wenu sio kuwaletea matatizo hapo baadae...watoto wenyewe Hawa wa miaka ya tisini hawajielewi kabisa watasumbuliwa sana na Sheria hii...serikali ikatae ujinga huu...Kama wewe ulipata uraia wa USA Basi mnigeria hawezi kosa uraia wa tz kwa Sheria hizi za kijinga...mliukana utanzania wenyewe bakini na uraia mlioupenda..HATUTAKIBaada ya kukamilisha Operesheni Haki kwenye kanda 10 za Tanzania kwa mafanikio makubwa , sasa ni zamu ya Kimataifa , Tundu Lissu , John Mnyika pamoja na mwamba mwenyewe Freeman Mbowe kuunguruma kidigitali .
Wote Mnakaribishwa .View attachment 1856426
Ana msikiliza Lissu?
hswala la haki halina mbadala Lazima ipatikaneBaada ya kukamilisha Operesheni Haki kwenye kanda 10 za Tanzania kwa mafanikio makubwa , sasa ni zamu ya Kimataifa , Tundu Lissu , John Mnyika pamoja na mwamba mwenyewe Freeman Mbowe kuunguruma kidigitali .
Wote Mnakaribishwa .View attachment 1856426
CCM na wizi ni kama samaki na maji. Yamevimbiwa lakini hayashibi haya majitu.Hivi kuna wezi kama CCM!
Mpambe wa mwendazake katika pozi
Wanaoibiwa ni wanachama wao. Wewe unawashwawashwa nn mkuu.sema mnataka kuwaibia wabongo tu.wahuni tu nyie
Ndio maana mnateketezwa na tozoNyinyi puyangeni huko lakini mjue kabisa mwisho wa siku wananchi wanaipa kura CCM chama makini,kinabeba viti vyote Tanzania.