Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wewe paroko ndenji baki kanisaniKutikisa kivip mbn mi nipo hap town sijaona chochote zaid ya mkutan wa kidin na rose muhando HP matalawe
Sent from my VFD 200 using JamiiForums mobile app
Mungu ibariki ChademaTunasonga kibishi
Eee bhana sasa hivi kumbe kuna makundi matatu !Go on kamanda! Go on!
Wapelekeshe hawa wenye chama chenye makundi 3:- push gang, mtandao na asilia.
Ndiyo mkuu!Eee bhana sasa hivi kumbe kuna makundi matatu !
Hii ni hatari !Ndiyo mkuu!
tunafuata muongozo wa WHOHivi na chadema naowanaruhusu mikusanyiko kipindi hiki cha mlipuko wa ugonjwa wakorona bila hatakuchukua tahadhali jamaniiiii
labda hukuwa songea mjini mbona mimi nliona gari za chadema zinaelekea mitaa ya papokiKutikisa kivip mbn mi nipo hap town sijaona chochote zaid ya mkutan wa kidin na rose muhando HP matalawe
Sent from my VFD 200 using JamiiForums mobile app
anasema alikuwa kwenye tamasha la Rose Mhando , sasa angewezaje kujigawa ?labda hukuwa songea mjini mbona mimi nliona gari za chadema zinaelekea mitaa ya papoki
bado sana , mikutano ya hadhara inakujaIla tuseme ukweli
Mama kawaachia cdm wafanye siasa zao hamna kikwazo tena.
Ingekuwa wakati ule tungepata taarifa tofauti
Sent from my SM-J730GM using JamiiForums mobile app
Acha uongo huomkusanyiko mliokaaa kama makundi ya ibada hata barakoa siiioniiii. Halafu unadanganya mnafuata mwongozo wa who?? Au mumepanga kutapakaza korona kwa makusudi mazima? Hovyo kabisatunafuata muongozo wa WHO
Jicho lako ni tigoKutikisa kivip mbn mi nipo hap town sijaona chochote zaid ya mkutan wa kidin na rose muhando HP matalawe
Sent from my VFD 200 using JamiiForums mobile app