Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Dah! Kweli Chadema kwishnei. Yaani tangu jana hadi Leo hakuna wachangiaji kama humu! Ngoja nikupe kampani mwaya!!!Mkakati kabambe wa kuchagiza Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , ukiambatana na mdogo wake aitwaye Chadema Digital ambao uko Kanda ya Kusini , leo umetikisa Mkoa wa Ruvuma kwa kuvunja rekodi ya Mahudhurio
Naibu Katibu Mkuu Mh Benson Kigaila aliongoza semina , majadiliano na vikao vya ndani
View attachment 1820959