Operesheni Haki, Songea: Benson Kigaila ongoza semina, majadiliano na vikao vya ndani

Dah! Kweli Chadema kwishnei. Yaani tangu jana hadi Leo hakuna wachangiaji kama humu! Ngoja nikupe kampani mwaya!!!
 
Safi sana CDM, hii tunaita Team building & retreat.
Kuna watu wananuna sana ila wawe wapole tu kwa sababu mchezo huu hautaki mabunduki wala kutekana.
 
Hii oparesheni ni Babkubwa
 
Utawasikia ,chadema imekufa ,uku kila siku wanachungulia pitia CHADEMA DIGITAL APP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…