Operesheni Haki yaingia Iringa, Maandalizi ya kumpokea Mbowe yakamilika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kwa vile tuliahidi kuwaletea kila kitakachojili kwenye ule mpango mpya wa Chadema unaoitwa Operesheni Haki , na kwa vile bado mpaka sasa Ahadi inatajwa kuwa deni nchini Tanzania, basi hatuna budi kuwaletea kinachojili huko Iringa ambapo maandalizi yote ya kumpokea Mwamba Freeman Mbowe na timu yake yamekamilika.

Endelea kutufuatilia kupitia hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi

FB_IMG_1623481677204.jpg
 
Kwa kuongeza tu hapo Kihesa inapofanyika hii OPERESHENI HAKI ndio mahakama ya Njegere , hili ndio soko kubwa zaidi la njegere unazokula huko mjini
 
Kwa vile tuliahidi kuwaletea kila kitakachojili kwenye ule mpango mpya wa Chadema unaoitwa Operesheni Haki , na kwa vile bado mpaka sasa Ahadi inatajwa kuwa deni nchini Tanzania , basi hatuna budi kuwaletea kinachojili huko Iringa ambapo maandalizi yote ya kumpokea Mwamba Freeman Mbowe na timu yake yamekamilika .

Endelea kutufuatilia kupitia hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi

View attachment 1816726
Mungu ibariki CHADEMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... makamanda wana taarifa kwamba Mjumbe wa Kamati Kuu, Prof. Baregu hatunaye tena? Ni busara na heshima kuahirisha hizo operesheni hadi marehemu atakapopumzishwa.
 
Mimi naiona hii ni Vita mkiwa frontline mwenzako akianguka wewe unatakiwa uendelee kumimina Risasi
 
... Mkuu naiona opereseheni hii ni Operation Awareness and Mobilization zaidi kuliko Operation Chakaza! Hii inaahirishika Mkuu.
 
Kwa vile tuliahidi kuwaletea kila kitakachojili kwenye ule mpango mpya wa Chadema unaoitwa Operesheni Haki , na kwa vile bado mpaka sasa Ahadi inatajwa kuwa deni nchini Tanzania , basi hatuna budi kuwaletea kinachojili huko Iringa ambapo maandalizi yote ya kumpokea Mwamba Freeman Mbowe na timu yake yamekamilika .

Endelea kutufuatilia kupitia hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi

View attachment 1816726
Mkuu Erythticyte, yawezekana ni mimi tu ambaye sijui maana ya "Haki" kiasi CHADEMA wazunguke nchini kwa "Operesheni Haki".

ITAPENDEZA kama utanielewesha ili wafuasi na mashabaki wa CHADEMA na wasio wafaidike badala ya kuishi kinyumbu
 
Hatutahangaika na mamluki hata chembe
 
Back
Top Bottom