Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mungu ibariki CHADEMAKwa vile tuliahidi kuwaletea kila kitakachojili kwenye ule mpango mpya wa Chadema unaoitwa Operesheni Haki , na kwa vile bado mpaka sasa Ahadi inatajwa kuwa deni nchini Tanzania , basi hatuna budi kuwaletea kinachojili huko Iringa ambapo maandalizi yote ya kumpokea Mwamba Freeman Mbowe na timu yake yamekamilika .
Endelea kutufuatilia kupitia hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi
View attachment 1816726
Amina
Hawa walifika mpaka level ya mpapai, sasa hivi wamerudi kuwa mbegu za mtamaWanasema mbuyu ulianza kama mchicha
Mimi naiona hii ni Vita mkiwa frontline mwenzako akianguka wewe unatakiwa uendelee kumimina Risasi... makamanda wana taarifa kwamba Mjumbe wa Kamati Kuu, Prof. Baregu hatunaye tena? Ni busara na heshima kuahirisha hizo operesheni hadi marehemu atakapopumzishwa.
... Mkuu naiona opereseheni hii ni Operation Awareness and Mobilization zaidi kuliko Operation Chakaza! Hii inaahirishika Mkuu.Mimi naiona hii ni Vita mkiwa frontline mwenzako akianguka wewe unatakiwa uendelee kumimina Risasi
Mkuu Erythticyte, yawezekana ni mimi tu ambaye sijui maana ya "Haki" kiasi CHADEMA wazunguke nchini kwa "Operesheni Haki".Kwa vile tuliahidi kuwaletea kila kitakachojili kwenye ule mpango mpya wa Chadema unaoitwa Operesheni Haki , na kwa vile bado mpaka sasa Ahadi inatajwa kuwa deni nchini Tanzania , basi hatuna budi kuwaletea kinachojili huko Iringa ambapo maandalizi yote ya kumpokea Mwamba Freeman Mbowe na timu yake yamekamilika .
Endelea kutufuatilia kupitia hapa hapa JF kwa Taarifa zaidi
View attachment 1816726
swadaktaMimi naiona hii ni Vita mkiwa frontline mwenzako akianguka wewe unatakiwa uendelee kumimina Risasi
Hatutahangaika na mamluki hata chembeMkuu Erythticyte, yawezekana ni mimi tu ambaye sijui maana ya "Haki" kiasi CHADEMA wazunguke nchini kwa "Operesheni Haki".
ITAPENDEZA kama utanielewesha ili wafuasi na mashabaki wa CHADEMA na wasio wafaidike badala ya kuishi kinyumbu
HakikaChama chenye kubeba maksudi ya Mungu