Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Karibu sana mkuuAhsante kwa taarifa...
wanachama ni Kwa digital , huwezi kuwaona kama karanga sokonitangia ameanzisha hiyo kampeni amevuna wanachama wangapi?
Asante sana tunafurahi kusikia harakati hizi za ukombozi chini ya jemedari Mbowe na wengine, Mungu awape ulinzi na hekima tele.Wakuu , Tunaomba radhi sana kutokana na usumbufu wa Taarifa zetu nyingi sana kuhusiana na Operesheni haki , mtusamehe sana , hatuna namna ya kufanya zaidi ya kuwahabarisha jambo hili muhimu.
Leo tena kampeni hii muhimu imefika unguja ambako Abubakar Mbowe anatarajiwa kuongoza vikao vya mafunzo na majadiliano , akishirikiana na viongozi wengine , Salum Mwalimu, Benson Kigaila na John Mrema.