Operesheni Haki yaingia Kanda ya Ziwa Victoria: Freeman Mbowe atua Mwanza

Kuna dude mmelitengeneza kuhusu kanda hii, msipolikana litawaadabisha 2025.
 
Porojo tupu ! jiwe alipendelea Chato tu , hakuwa na msaada wowote eneo lingine angalia wavuvi walivyouawa kinyama
 
Unaweza kuwa sahihi ila uko tofauti na wapiga debe wenu!

Najua Mbowe ameenda hapo strategically kabla jua halijazama, ila anapaswa awe makini na wapiga debe wenu kwanza, kelele nyingi halafu shida anaipata peke yake.
 
Chadema imejipanga kuliko unavyodhani
 
Lumumba hawapendi hii kitu, kwa chini chini wanamtaka Mwenyekiti wao azuie hii kitu mikusanyiko sababu bado kuna Corona...

Chadema Digital haitamwacha mtu salama!!

1622721754572.png
 
Chadema imejipanga kuliko unavyodhani
Uko sawa ila na hili ninalokwambia lifanyieni kazi, msifikili ni dogo hili

Wapiga debe wenu watawaweka pabaya, maana wao wanatukana huku wamejificha humu, alafu nyinyi ndo mnaenda Front kupambana na watukanwaji.
 
Matusi ni kukomalia kikundi haramu cha #sukumagang?! Na Mbona mlisema CHADEMA ni mtandaoni tu, na watu wengi hawatumii mtandao?!
 
Ok sawa tuendelee kupambana ila kumbuka hao unao waita sukuma gang ni kina kirefu

Mwenyekiti wako analitambua hilo, amekuja, wewe hata usipotambua huna athari yeyote.
 
Back
Top Bottom