lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Kwa maoni yangu,Iwe Urusi imeshinda ama imeshindwa katika operation yake dhidi ya Ukraine mara TU baada ya operation hiyo kuisha Umoja wa NATO utavunjuka.
Hautavunjika kwa siku moja au mwezi,Bali miaka isiyozidi mitatu NATO haitaendelea kuwepo wataivunja.
Haya ni mawazo yangu TU kwa kuangalia mwendo wa mgogoro huu.
Sababu zangu ni kwamba.
Ulaya yote wanajua fika Urusi Haina chuku na nchi yoyote ya ulaya isipokua kibaraka Mkuu wa Marekani, uingereza.
Urusi haiitaki Marekani ikiwa kijeshi barani ulaya.
Nayo Marekani ili iwepo ulaya kijeshi ni lazima iwemo ndani ya NATO.
Na ukweli ulio wazi NATO ni chombo Cha Marekani Cha kuidhibiti Urusi,kama ikitokea vita kabla Urusi haijafika Marekani.
Hivyo wazungu wa ulaya wanaiona NATO kama chombo Cha kuiingiza matatizoni ulaya kivita na Urusi wakati wao hawana matatizo na Urusi, mwenye matatizo na Urusi Yuko mbali ila wao wanatumika kama buffer zone TU.
Mgogoro huu utawafanya waone kuwa kumbe Russia akitaka kutupiga anatupiga TU bila msaada wowote wa maana kutoka Marekani.
Waulaya wengi siku nyingi hawaitaki NATO ila Uingereza, Marekani na Poland wamekua wakisisitiza kuwa NATO ni muhimu.
Waulaya wengi mfano Ufaransa wanashabikia mbadala wa NATO kwa ajili ya ulaya ambayo ni "European Army"
European Army imekua ikipigiwa. Chapuo siku nyingi na nchi wastaarabu kama Ufaransa na wenzake lkini kikwazo ni USA,UK na Poland.
Urusi inapenda sana mahusiano mema na Ulaya lakini USA amekia akivuruga siku zote.
Na hata Bomba la gesi kwenda Ujerumani kavuruga makusudi kwa kua anajua Urusi atapiga Hela sana.
Vikwazo vya kiuchumi
Vikwazo vimekua ni kero kwa baadhi ya nchi.
Mfano ugomvi ni kati ya USA na Russia mfano,lakini USA analazimisha nchi ambazo hazina ugomvi na Russia kuiwekea Russia vikwazo.hoja Sasa je hizo nchi hazihutaji Hela ya Urusi?au hazihutaji bidhaa za Urusi?
Pengine ni rahisi zaidi kuagiza bidhaa Fulani kutoka Russia kuliko kuagiza bidhaa hiyo kutoka mfano china
Na kibaya zaidi vita Iko ulaya USA inazilazimisha mfano nchi za middle east kuacha kufanya biashara na Urusi .zikale wapi?
Vikwazo sio vya UN Bali ni USA na marafiki zake wachache TU.
Hivyo Kuna nchi hazitataka kujiunga Tena na NATO kwa kuogopa kuleta Tena mgogoro barani ulaya kwa kuifaidisha USA.
Pia hazipendi vikwazo dhidi ya Urusi kwa sababu baadhi Yao soko kubwa la bidhaa zao like Urusi.
Kwa machache hayo sioni NATO kuwepo Tena baada ya vita hii kwaiaka michache ijayo.
Haina faida kwa ulaya zaidi itawaletea majanga TU kutoka Urusi.
Urusi ilipigana na NATO hata bila nyukilia kwa kutumia makombora mengine TU ya maangamizi hakuna nchi katika ulaya zitakua kama zilivyo Leo. Nchi nyingi zitarudi zana za mawe. Sasa yote haya ni kwa sababu ya NATO TU. Hakuna nchi ulaya inapenda ujinga huu.
Litaanza vugu vugu ulaya la kuhoji uhalali wa NATO. Kumbuka vuguvugu hili lipo miaka mingi TU,lakini mgogoro huu wa Ukraine ndio utawafungua wengi akili. European Army inakuja kubatizwa nadhani wengi hawajui kuwa IPO.
Moja ya Sheria ya NATO inasema mwanachama yoyote wa NATO akichokoza yeye NATO haihusiki yatakayomkua yake.
Uturuki sio mwanachama wa European union,lakini ni mwanachama wa NATO. Kaomba kujiunga wee lakini kakataliwa.
NATO waliweza kuisaidia Kosovo ambae sio mwanachama wake alipokua akipigwa na Serbia. Leo NATO kaogopa kuisaidia Ukraine kibaraka wao. Kwa hiyo assurance ya NATO ni ndogo sana kama Mnato akiingia mgogoro na Urusi.
Sioni NATO kuwepo Tena baada ya vita hii. Urusi kaivua nguo pakubwa sana.
=========
President Macron is visiting a series of monuments this week to mark the centenary of the World War One Armistice
French President Emmanuel Macron has warned that Europeans cannot be protected without a "true, European army", as he marks the centenary of the World War One Armistice.
On a visit to the former Western Front in Verdun, he said Russia had shown it could be a threat and Europe had to be able "to defend itself better alone".
Russia's president will be among world leaders marking the Armistice in Paris. Mr Macron has already proposed a joint intervention force for crisis missions.
German Chancellor Angela Merkel backed the idea of an intervention force in June, but said it would have to be part of "the structure of defence co-operation".
The UK, while in favour of such a joint force, is opposed to a European army, because of the potential risk of creating a parallel structure to Nato.
President Macron has already warned that Europeans can no longer rely on the US to defend them, and he revived the theme on Tuesday, in response to President Donald Trump's decision to pull out of a 1987 nuclear treaty with Russia, banning medium-range ground-launched missiles.
"Who is the main victim? Europe and its security," he told French radio station Europe 1.
"I want to build a real security dialogue with Russia, which is a country I respect, a European country - but we must have a Europe that can defend itself on its own without relying only on the United States."
Speaking about cyber security, he also said: "We have to protect ourselves with respect to China, Russia and even the United States of America."
=============
There is no evidence that any group of European countries has the political will or economic muscle to spend sufficiently on defence to make up for the United States' raw power.
Indeed the deployment of troops "into harm's way" remains the ultimate sovereign decision of a national government. There is no "Nato army" today - merely an alliance of national components trained and accustomed to operating together.
President Macron's call for a greater European effort in defence derives from two sets of factors: his support for the greater European project on the one hand, but also horror at much that the Trump Administration is doing on the other, with its overturning of treaties and so on.
Media caption,
Nato holds biggest military exercise since Cold War
But could Europe really stand up to Russia alone? And what of the longer-term threat from China?
The US relationship may be problematic but it could be becoming more important than ever.
Hautavunjika kwa siku moja au mwezi,Bali miaka isiyozidi mitatu NATO haitaendelea kuwepo wataivunja.
Haya ni mawazo yangu TU kwa kuangalia mwendo wa mgogoro huu.
Sababu zangu ni kwamba.
Ulaya yote wanajua fika Urusi Haina chuku na nchi yoyote ya ulaya isipokua kibaraka Mkuu wa Marekani, uingereza.
Urusi haiitaki Marekani ikiwa kijeshi barani ulaya.
Nayo Marekani ili iwepo ulaya kijeshi ni lazima iwemo ndani ya NATO.
Na ukweli ulio wazi NATO ni chombo Cha Marekani Cha kuidhibiti Urusi,kama ikitokea vita kabla Urusi haijafika Marekani.
Hivyo wazungu wa ulaya wanaiona NATO kama chombo Cha kuiingiza matatizoni ulaya kivita na Urusi wakati wao hawana matatizo na Urusi, mwenye matatizo na Urusi Yuko mbali ila wao wanatumika kama buffer zone TU.
Mgogoro huu utawafanya waone kuwa kumbe Russia akitaka kutupiga anatupiga TU bila msaada wowote wa maana kutoka Marekani.
Waulaya wengi siku nyingi hawaitaki NATO ila Uingereza, Marekani na Poland wamekua wakisisitiza kuwa NATO ni muhimu.
Waulaya wengi mfano Ufaransa wanashabikia mbadala wa NATO kwa ajili ya ulaya ambayo ni "European Army"
European Army imekua ikipigiwa. Chapuo siku nyingi na nchi wastaarabu kama Ufaransa na wenzake lkini kikwazo ni USA,UK na Poland.
Urusi inapenda sana mahusiano mema na Ulaya lakini USA amekia akivuruga siku zote.
Na hata Bomba la gesi kwenda Ujerumani kavuruga makusudi kwa kua anajua Urusi atapiga Hela sana.
Vikwazo vya kiuchumi
Vikwazo vimekua ni kero kwa baadhi ya nchi.
Mfano ugomvi ni kati ya USA na Russia mfano,lakini USA analazimisha nchi ambazo hazina ugomvi na Russia kuiwekea Russia vikwazo.hoja Sasa je hizo nchi hazihutaji Hela ya Urusi?au hazihutaji bidhaa za Urusi?
Pengine ni rahisi zaidi kuagiza bidhaa Fulani kutoka Russia kuliko kuagiza bidhaa hiyo kutoka mfano china
Na kibaya zaidi vita Iko ulaya USA inazilazimisha mfano nchi za middle east kuacha kufanya biashara na Urusi .zikale wapi?
Vikwazo sio vya UN Bali ni USA na marafiki zake wachache TU.
Hivyo Kuna nchi hazitataka kujiunga Tena na NATO kwa kuogopa kuleta Tena mgogoro barani ulaya kwa kuifaidisha USA.
Pia hazipendi vikwazo dhidi ya Urusi kwa sababu baadhi Yao soko kubwa la bidhaa zao like Urusi.
Kwa machache hayo sioni NATO kuwepo Tena baada ya vita hii kwaiaka michache ijayo.
Haina faida kwa ulaya zaidi itawaletea majanga TU kutoka Urusi.
Urusi ilipigana na NATO hata bila nyukilia kwa kutumia makombora mengine TU ya maangamizi hakuna nchi katika ulaya zitakua kama zilivyo Leo. Nchi nyingi zitarudi zana za mawe. Sasa yote haya ni kwa sababu ya NATO TU. Hakuna nchi ulaya inapenda ujinga huu.
Litaanza vugu vugu ulaya la kuhoji uhalali wa NATO. Kumbuka vuguvugu hili lipo miaka mingi TU,lakini mgogoro huu wa Ukraine ndio utawafungua wengi akili. European Army inakuja kubatizwa nadhani wengi hawajui kuwa IPO.
Moja ya Sheria ya NATO inasema mwanachama yoyote wa NATO akichokoza yeye NATO haihusiki yatakayomkua yake.
Uturuki sio mwanachama wa European union,lakini ni mwanachama wa NATO. Kaomba kujiunga wee lakini kakataliwa.
NATO waliweza kuisaidia Kosovo ambae sio mwanachama wake alipokua akipigwa na Serbia. Leo NATO kaogopa kuisaidia Ukraine kibaraka wao. Kwa hiyo assurance ya NATO ni ndogo sana kama Mnato akiingia mgogoro na Urusi.
Sioni NATO kuwepo Tena baada ya vita hii. Urusi kaivua nguo pakubwa sana.
=========
France's Macron pushes for 'true European army'
French President Emmanuel Macron has warned that Europeans cannot be protected without a "true, European army", as he marks the centenary of the World War One Armistice.
On a visit to the former Western Front in Verdun, he said Russia had shown it could be a threat and Europe had to be able "to defend itself better alone".
Russia's president will be among world leaders marking the Armistice in Paris. Mr Macron has already proposed a joint intervention force for crisis missions.
German Chancellor Angela Merkel backed the idea of an intervention force in June, but said it would have to be part of "the structure of defence co-operation".
The UK, while in favour of such a joint force, is opposed to a European army, because of the potential risk of creating a parallel structure to Nato.
President Macron has already warned that Europeans can no longer rely on the US to defend them, and he revived the theme on Tuesday, in response to President Donald Trump's decision to pull out of a 1987 nuclear treaty with Russia, banning medium-range ground-launched missiles.
"Who is the main victim? Europe and its security," he told French radio station Europe 1.
"I want to build a real security dialogue with Russia, which is a country I respect, a European country - but we must have a Europe that can defend itself on its own without relying only on the United States."
Speaking about cyber security, he also said: "We have to protect ourselves with respect to China, Russia and even the United States of America."
=============
Will there be a European army?
There is no evidence that any group of European countries has the political will or economic muscle to spend sufficiently on defence to make up for the United States' raw power.Indeed the deployment of troops "into harm's way" remains the ultimate sovereign decision of a national government. There is no "Nato army" today - merely an alliance of national components trained and accustomed to operating together.