Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Mabeberu weusi mtakubali matokeo, hawa marekani ni kirusi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wao NATO hawaujui ukweli mpaka wafikirie hivyo , !?Hii Vita ya Ukraine ikiendelea huoni kama uhusiano kati ya Urusi na Ulaya utazidi kudidimia zaidi.
Kwa kiasi kikubwa mnoooKwa hii Vita ya Ukraine,
NATO wamevuliwa nguo sana na Putin[emoji4]View attachment 2149299
Sasa kwa nini kashindwa kupambana na urusiKijeshi Ulaya inaitegemea USA...kwa sababu Amerika wanatumia pesa nyingi kufanya tafiti za kijeshi, uwezo wao mkubwa wa mawasiliano ya satellites, ukubwa wa viwanda vya silaha, USA wana satellites nyingi za uchunguzi kuliko Ulaya yote! Pia kuna mfumo mkubwa wa ulinzi Walionao wa Amerika ambao ulaya (NATO) wanategemea.
USA wako vizuri kijeshi ukiacha ushabiki huu wa Urusi vs Ukraine timu.
Numbisa