Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani Ulaya wanaweza kujikomboa kutoka kwenye himaya ya Marekani.?Mkuu Yani mfano wajerumani wanajua kabisa Urusi kawa provoked kwa sababu ya Nord stream3 hakuna kingine.
Mwangalie Macron anavyohaha.
Sema kaka mkubwa anawawekea biti kwa maslahi yake..
Kwanza wa ulaya hawataki kabisa kusikia habari ya vita,poa sio vita TU,Bali vita na. Urusi.
Hebu fikiria Putin kwa utani TU aliwahi kusifu kombora lake moja hivi hapo zamani baada ya kulifantyia majaribio na kufanikiwa alisema kombora hili moja TU linaweza kuifuta Ufaransa kwenye ramani ya dunia.
Sasa Kuna nchi inataka vita vya hivyo?
Bro ni ukweli uhusiano utadidimia lakini baada ya miaka utarudi TU.Hii Vita ya Ukraine ikiendelea huoni kama uhusiano kati ya Urusi na Ulaya utazidi kudidimia zaidi.
Muda umekaribia sana wa ulaya kujikomboa kutoka utumwa wa Marekani.Unadhani Ulaya wanaweza kujikomboa kutoka kwenye himaya ya Marekani.?
Bila USA hakuna NATO....Ukraine Crisis Boosts Macron's Call for a European Army
Putin keeps trying to divide the U.S. and Europe, but he might just create two formidable enemies.
Ina maana NATO haitoshi?
Hapana Nia ni kuitema Marakani baraani ulaya.
Kwani wanaona kama USA ni kirusi hatari kwa usalama wa ulaya..
Kukiwa na European Army Urusi Haina tataizo,shida na USA TU.
Ha ha haa ila hii katuni Huwa inanifurahisha sana.Kwa hii Vita ya Ukraine,
NATO wamevuliwa nguo sana na Putin[emoji4]View attachment 2149299
Uko sawa kabisa Mkuu.bila USA hakuna. NATO.Bila USA hakuna NATO....
Ulaya pia hawaweza kuwa na umoja wa kujeshi bila USA mkuu...Uko sawa kabisa Mkuu.bila USA hakuna. NATO.
NATO ni chombo Cha USA.
Ulaya hawataki kuwa kwenye umoja wa kijeshi unaoongozwa na Marekani.
Wanataka kuwa na umoja wao wa kijeshi bila Marekani.
Na wala Hana hofu kabisa na Urusi,na Urusi Hana hofu nao.
Urusi ana hofu na Marekani TU.
Kwa sababu Marekani siku zote anataka kuimaliza Urusi.
Ulaya inajiweza ki uchumi bila USA..Ila kijeshi inaitegemea USA dhidi ya maadui wa mashariki (Urusi,China)Uko sawa kabisa Mkuu.bila USA hakuna. NATO.
NATO ni chombo Cha USA.
Ulaya hawataki kuwa kwenye umoja wa kijeshi unaoongozwa na Marekani.
Wanataka kuwa na umoja wao wa kijeshi bila Marekani.
Na wala Hana hofu kabisa na Urusi,na Urusi Hana hofu nao.
Urusi ana hofu na Marekani TU.
Kwa sababu Marekani siku zote anataka kuimaliza Urusi.
Watamuamini kwa sababu zake zenye mshiko, kwani kamfanyia nani na nani hivi?Ni kweli....kwa hili analofanya huko Ukraine hata akisema hana ugomvi unadhani watamuamini?
Wanaweza ila sema USA ataki wawe na umoja bila yeye kwa sababu kwa sababu anahitaji njia au uwanja wa kuidhibiti Urusi.Ulaya pia hawaweza kuwa na umoja wa kujeshi bila USA mkuu...
Urusi na china hazina tattizo na Ulaya.Ulaya inajiweza ki uchumi bila USA..Ila kijeshi inaitegemea USA dhidi ya maadui wa mashariki (Urusi,China)
SWeden kujiunga na NATO is a matter of when not if.Sweden wako smart sana. Hawaendeshwi na mihemko wala kufuata umati kama nyumbu. Waziri mkuu wao kasema suala la kujiunga na nato au la kwa kipindi hiki siyo zuri. Kwa maana litaongeza tension katika ukanda huu.
Nimewakubali sana kwa uamuzi huu.
Kijeshi Ulaya inaitegemea USA...kwa sababu Amerika wanatumia pesa nyingi kufanya tafiti za kijeshi, uwezo wao mkubwa wa mawasiliano ya satellites, ukubwa wa viwanda vya silaha, USA wana satellites nyingi za uchunguzi kuliko Ulaya yote! Pia kuna mfumo mkubwa wa ulinzi Walionao wa Amerika ambao ulaya (NATO) wanategemea.Wanaweza ila sema USA ataki wawe na umoja bila yeye kwa sababu kwa sababu anahitaji njia au uwanja wa kuidhibiti Urusi.
Anapambana na USA kwa kuiharibu Ukraine.Afanyaje sasa, wakati usA anataka mtia dole la jicho.
Umesahau alichomfanyia Georgia mwaka 2008 ?Watamuamini kwa sababu zake zenye mshiko, kwani kamfanyia nani na nani hivi?
Alimfanyia georgia kwa sababu zipi!?Anapambana na USA kwa kuiharibu Ukraine.
Umesahau alichomfanyia Georgia mwaka 2008 ?
Baada ya Ukraine huenda ikawa zamu yao...hivyo njia pekee ya wao kuwa salama ni kuwa chini ya NATO.
Iko pale pale...weka kumbukumbu ya huu uzi.Kiranja wa Dunia US........nayeye heshima yake currently naona inashuka