Kijeshi Ulaya inaitegemea USA...kwa sababu Amerika wanatumia pesa nyingi kufanya tafiti za kijeshi, uwezo wao mkubwa wa mawasiliano ya satellites, ukubwa wa viwanda vya silaha, USA wana satellites nyingi za uchunguzi kuliko Ulaya yote! Pia kuna mfumo mkubwa wa ulinzi Walionao wa Amerika ambao ulaya (NATO) wanategemea.
USA wako vizuri kijeshi ukiacha ushabiki huu wa Urusi vs Ukraine timu.
Numbisa