Operesheni ya kurejesha mji wa Kherson yazaa matunda, Warusi 82 wauawa na zana kulipuliwa

Operesheni ya kurejesha mji wa Kherson yazaa matunda, Warusi 82 wauawa na zana kulipuliwa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kibao kimegeuzwa, Mrusi aanza kupokea mapigo kwenye nchi aliyokua anajaribu kuparamia....mbele kwa mbele...hongereni Ukraine, hata kama mtauawa ila ni nchi yenu, taifa lenu, ardhi yenu, bendera yenu....vizazi vijavyo vitasoma kwenye historia namna mashujaa mlipambana na kumfukuza mdhulumaji........ Yaani napata raha hdi naumwa aisei

Ukraine's Operational Command South (OCS) said in a Tuesday Facebook post that the first day of a major counteroffensive on Russian positions in southern Ukraine had resulted in significant success, while Russian attacks on five Ukrainian positions were largely "unsuccessful." Ukrainian forces are attempting to retake territory previously lost, including the city of Kherson, more than six months after the Russian invasion began.
"The situation in our operational area is steadily tense," OCS said in the post. "The enemy continues combat operations at the tactical level, tries to rotate units. The demonstration of force is carried out with the help of aviation. During the day, he attacked our positions 5 times, but was unsuccessful."

"Instead, last night our artillery units inflicted damage on 13 enemy control points in Kherson, Beryslav and Kakhovsky districts," it continued. "The enemy's air defense positions were attacked with six air strikes using various means of air attack."
 
Hivi hii vita imefikia wapi? Russia anataka nini specifically?

Putin alisema anataka kuzuia Ukraine isijiunge NATO, tena akasema anataka kusimika uongozi mpya Ukraine, ghafla akabadilisha akasema anakomboa miji yenye wa-Ukraine wenye asili ya Russia, hii ni baada ya kufukuzwa kama mwizi pale Kyev.... Sasa hivi haeleweki maana hata Warusi wenyewe wameshindwa kuelewa nini wanachokitafuta kwenye hako kainchi kadogo saizi ya mkoa wa Urusi.
Hata mashabiki wake humu JF wamebadilisha magoli na malengo hawaeleweki tena...
 
Kama kweli, hao mbona wachache sana, Ukraine wako kwao na wapo radhi kujitoa mhanga kwa mamilioni, mtaua mpaka mchoke, lazima ardhi yao iwatoke puani.
 
Kama kweli, hao mbona wachache sana, Ukraine wako kwao na wapo radhi kujitoa mhanga kwa mamilioni, mtaua mpaka mchoke, lazima ardhi yao iwatoke puani.
Vipi Mkuu, mbona waongea kinyonge hivyo? We si umesema operesheni ya kukomboa miji imezaa matunda? Sasa si mmeshakomboa hiyo miji? Au mmeshindwa (operesheni imefeli)?

SmartSelect_20220831-065307_Chrome.jpg
 
Vipi Mkuu, mbona waongea kinyonge hivyo? We si umesema operesheni ya kukomboa miji imezaa matunda? Sasa si mmeshakomboa hiyo miji? Au mmeshindwa (operesheni imefeli)?

View attachment 2340577

Wala sio kinyonge, operesheni imezaa matunda kwa kuuawa kwa wanajeshi Warusi 82 waliokua wamejichimbia, hata kama imegharimu maelfu ya wapiganaji wa Ukraine, kimsingi wapo tayari kufa mamilioni ila mdhulumaji aondoke.
Soma historia ya Vietnam
 
Acha Urusi waendelee kuyasagasaga magaidi ya Ukraine
 
Ndio, Zelensky+jeshi lake la waNazi mambo leo ni ma-terrorists tu ...lazima yauawe ili dunia iwe mahala salama pa kuishi

Hahaha wavaa makobazi leo mnaita wengine magaidi, ila hata hivyo huyo Urusi mnayemtegemea ameishiwa hadi raha, anapokea kichapo kwenye nchi ya watu.
 
Hahaha wavaa makobazi leo mnaita wengine magaidi, ila hata hivyo huyo Urusi mnayemtegemea ameishiwa hadi raha, anapokea kichapo kwenye nchi ya watu.
Hivi kwenye hii Dunia duna magaidi Zaid ya wavaa vipedo
 
Kibao kimegeuzwa, Mrusi aanza kupokea mapigo kwenye nchi aliyokua anajaribu kuparamia....mbele kwa mbele...hongereni Ukraine, hata kama mtauawa ila ni nchi yenu, taifa lenu, ardhi yenu, bendera yenu....vizazi vijavyo vitasoma kwenye historia namna mashujaa mlipambana na kumfukuza mdhulumaji........ Yaani napata raha hdi naumwa aisei

Ukraine's Operational Command South (OCS) said in a Tuesday Facebook post that the first day of a major counteroffensive on Russian positions in southern Ukraine had resulted in significant success, while Russian attacks on five Ukrainian positions were largely "unsuccessful." Ukrainian forces are attempting to retake territory previously lost, including the city of Kherson, more than six months after the Russian invasion began.
"The situation in our operational area is steadily tense," OCS said in the post. "The enemy continues combat operations at the tactical level, tries to rotate units. The demonstration of force is carried out with the help of aviation. During the day, he attacked our positions 5 times, but was unsuccessful."

"Instead, last night our artillery units inflicted damage on 13 enemy control points in Kherson, Beryslav and Kakhovsky districts," it continued. "The enemy's air defense positions were attacked with six air strikes using various means of air attack."

Kherson: 'Mapigano makali' huku Ukraine ikijaribu kutwaa tena eneo linaloshikiliwa na Urusi​

th

ReutersCopyright: Reuters
Mapigano makali yameripotiwa huku Ukraine ikijaribu kutwaa tena eneo la kusini mwa Kherson linalokaliwa na Urusi - lakini wataalam wa kijeshi wameiambia BBC kuwa "haitatokea haraka".
"Mapigano makali yanaendelea, wanajeshi wetu wanafanya kazi saa nzima," Vitaliy Kim, ambaye anaongoza mkoa jirani wa Mykolaiv alisema.
Awali Ukraine ilisema kuwa imevunja safu ya kwanza ya ulinzi ya Urusi.
Lakini Urusi ilisema wanajeshi wa Ukraine walishindwa wakati wa shambulio hilo.
Wizara ya ulinzi mjini Moscow pia ilisema kumekuwepo na hasara kubwa miongoni mwa vikosi vya Ukraine, lakini madai ya Ukraine na Urusi hayajathibitishwa kwa njia huru .
Kherson imekuwa mji wa kwanza mkubwa wa Ukraine kuanguka mikononi mwa Urusi katika siku za ufunguzi wa uvamizi wa Moscow ulioanza tarehe 24 Februari.
Maafisa wakuu wa jeshi la Ukraine wamekaa kimya kuhusu kutoa maelezo mengi juu ya ripoti yake ya kukabiliana na mashambulizi, na kuwataka wananchi wengi kuwa na subira.
Siku ya Jumanne, Kamandi ya Uendeshaji ya Ukraine "Kusini" iliripoti kwamba "vita vya kuchukua maeneo" viliendelea.
Ilisema madaraja matatu muhimu katika Mto Dnipro yameshambuliwa tena ili kuhakikisha kuwa hayapitiki. Katika wiki za hivi karibuni, Ukraine pia imekuwa ikitumia mifumo ya roketi ya Himars inayotolewa na Marekani kulenga madaraja ya Urusi, pamoja na maghala ya risasi.
Hii inaonekana sana kama sehemu ya juhudi inayolengwa ya kukata wanajeshi wa Urusi kwenye ukingo wa kulia (magharibi) wa mto, na kuifanya iwe vigumu kutuma wanajeshi na silaha.
 
Hahaha wavaa makobazi leo mnaita wengine magaidi, ila hata hivyo huyo Urusi mnayemtegemea ameishiwa hadi raha, anapokea kichapo kwenye nchi ya watu.
Urusi ilishaishiwa toka March (miezi 5 iliyopita, sawa na siku 150), hakuna jipya hapo. Ila magaidi yanaendelea kuuawa kwa maelfu.

MK254, we hizi habari unaziibuwa wapi??

Tukutane tena hapa baada ya wiki kupita halafu tupeane feedback nini hasa kilitokea kwa jeshi la Zelensky baada ya kujiingiza kichwa kichwa kutaka kurejesha mji na eneo la Kherson - tusiende mbali ebu jaribu kutafuta video clip/picha zinazo onyesha uharibifu wa train moja iliyokuwa imebeba wanajeshi wa Ukraine kwenda frontline, mabehëwa yote nyanganyanda, wanajeshi zaidi ya 200 waka-perish on spot, kumbuka hilo ni kombora moja tu aina ya Iskedar lauched zaidi ya 500Km kutoka kwenye designated target, sasa linganisha na vi-HIMARS ambavyo vinashindwa kuvunja hata daraja,badala yake vinaacha mashimo shimo tu na sio kuvunja daraja, uwezo wake ni kushambulia maghara ya kuhifadhi silaha na ammunitions wakitegemea kwamba secondary explosion ndio italeta uharibifu zaidi-which is true, HIMARS yatabaki kuwa ni silaha za kuvizia kulipuwa depot za mafuta,ammunition dumps lakini hata siku moja hawayawezi kuwa a game changer ya mwenendo mzima wa vita nchini Ukraine - we sema zinapewa publicty stunts ie sifa nyingi sana kutoka kwenye vyombo vya habari za magharibi ili kuziongezea soko, basi.

Sasa turudi kwenye madhara makubwa yanayo sababishwa na kombora moja la Iskendar - swali ni,je, Putin ana makombora mangapi ambayo ni ya uwezo mkubwa zaidi ya Iskendar?? Habari za kuaminika zinapo sema hivi karibuni wanajeshi karibu 1,200 wameuwawa kwenye Operation ya kijinga ya jeshi la Zelensky kutaka kurudisha Kherson, wala mimi na wenzagu Duniani hatushangai nini kiliwapata wanajeshi wa Ukraine pamoja na Rais wao anaye tumiwa na mabeberu bila ya kujitambua, yupo yupo bendera fuata upepo, huku Taifa lake likichakazwa pia na wanajeshi wake na raia kuangamia kwa maelfu wala hilo yeye hajali, anaona sawa tu.
 
Back
Top Bottom