MK254, we hizi habari unaziibuwa wapi??
Tukutane tena hapa baada ya wiki kupita halafu tupeane feedback nini hasa kilitokea kwa jeshi la Zelensky baada ya kujiingiza kichwa kichwa kutaka kurejesha mji na eneo la Kherson - tusiende mbali ebu jaribu kutafuta video clip/picha zinazo onyesha uharibifu wa train moja iliyokuwa imebeba wanajeshi wa Ukraine kwenda frontline, mabehëwa yote nyanganyanda, wanajeshi zaidi ya 200 waka-perish on spot, kumbuka hilo ni kombora moja tu aina ya Iskedar lauched zaidi ya 500Km kutoka kwenye designated target, sasa linganisha na vi-HIMARS ambavyo vinashindwa kuvunja hata daraja,badala yake vinaacha mashimo shimo tu na sio kuvunja daraja, uwezo wake ni kushambulia maghara ya kuhifadhi silaha na ammunitions wakitegemea kwamba secondary explosion ndio italeta uharibifu zaidi-which is true, HIMARS yatabaki kuwa ni silaha za kuvizia kulipuwa depot za mafuta,ammunition dumps lakini hata siku moja hawayawezi kuwa a game changer ya mwenendo mzima wa vita nchini Ukraine - we sema zinapewa publicty stunts ie sifa nyingi sana kutoka kwenye vyombo vya habari za magharibi ili kuziongezea soko, basi.
Sasa turudi kwenye madhara makubwa yanayo sababishwa na kombora moja la Iskendar - swali ni,je, Putin ana makombora mangapi ambayo ni ya uwezo mkubwa zaidi ya Iskendar?? Habari za kuaminika zinapo sema hivi karibuni wanajeshi karibu 1,200 wameuwawa kwenye Operation ya kijinga ya jeshi la Zelensky kutaka kurudisha Kherson, wala mimi na wenzagu Duniani hatushangai nini kiliwapata wanajeshi wa Ukraine pamoja na Rais wao anaye tumiwa na mabeberu bila ya kujitambua, yupo yupo bendera fuata upepo, huku Taifa lake likichakazwa pia na wanajeshi wake na raia kuangamia kwa maelfu wala hilo yeye hajali, anaona sawa tu.