August 24, 2018
Nairobi, Kenya
Serikali inatarajiwa kuanza operesheni ya kuwasaka, kuwakamata na kuwafurusha nchini raia wa kigeni wanaohudumu bila stakabadhi zinazohitajika. Waziri wa usalama wa ndani Dakta Fred Matiang'i amesema kwamba tayari watu 60 wamefurushwa pindi tu ilipogunduliwa kwamba walikuwa na stakabdhi ghushi za ndoa na kwamba baadhi yao walikuwa walanguzi wa mihadarati.
Source: K24TV