Elections 2015 Operesheni Zinduka: Uamuzi Sahihi 2015


Wahenga walisema usichezee shilingi chooni.
 



  1. Kuna Haja Gani Ya Kuendelea Kushabikia Vyama (CHADEMA, TLP n.k.) Wakati Havina Misimamo Bali Vinaburuzwa na Wanaoviongoza?
  2. Wengine Tulishasema Siku Nyingi Kuwa Tatizo la CHADEMA Ni Mbowe, Je Ni Kwa nini Wafuasi Wengi Wa CDM Ikiwa ni Pamoja na Mkuu Mwanakijiji Hamlioni Hilo?
  3. Je Vijipesa Vya Mbowe Kuwapatia Waliokaribu Yake, Ikiwa ni Pamoja na Dr. Slaa (Nyumba), JamiiForum.com (kulipia host), MMJJ (???) n.k. Ndio Vilivyotufikisha Hapa pa Kuyumbishwa na LOWASSA?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Mzee Mwanakijiji

Ambao hawakuelewa Operesheni Zinduka (OZ) wakati ule, bila shaka wakati huu wamepata nuru ya nini hasa ilikuwa hoja zako dhidi ya aliyekuwa mgombea wa CHADEMA. Hongera tena kwa kutuletea OZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…