Elections 2015 Operesheni Zinduka: Uamuzi Sahihi 2015

Elections 2015 Operesheni Zinduka: Uamuzi Sahihi 2015

Huna maana,tatizo lako unafikiri bado una.ushawishi wako kama zamani. Kwa sasa tuna MZEE TUPATUPA WA LUMUMBA.
 
Hakuna mtendaji yeyote wa serikali aliyewahi kuwa makini kiasi hicho. Wizi wa kura kwa kutumia michakato ya ki IT unahutaji uzoefu, umakini na efficiency ya hali ya juu. I am 100% sure kuwa grave miscommunications zitatokea kati ya uongozi wa juu wa tume, makamishna, na wasimamizi majimboni. Ukijumlisha na pressure ya umma watanzania na mataifa mbalimbali, watachanganyikiwa mapema sana...

Kuiba wataiba, lakini utakuwa wizi wa mchana, yaani kila detail ya wizi itakuwa wazi.

Na ndio hofu yangu kubwa kwamba huenda hata matokeo tayari wanayo mkononi kwa sababu safari hii ku coordinate fraud ni kazi sana na huenda isiwezekane. kinachoweza kutokea ni mtafaruku na mkanganyiko utakaopelekea watu kukubali yaishe tu. Huwezi kuamini hadi sasa hivi bado wataalam wa IT wanafanyia kazi hiyo system sasa sijui muda uliobaki utatosha kufanyia majaribio na kujiridhisha kama utakua unatimiza vigezo na masharti ikiwemo uwezo wa kuhudumia hiyo siku ya uchaguzi?

Nnachokifaham hawatakubali kushindwa kutoa matokeo kisa mitambo imegoma au mchakato haujaenda sawa, matokeo ni lazima yatoke kwa vyovyote vile yawe ya kupikwa, ya ukweli au ya ukweli kuchanganya na ya kupikwa. Tusubiri
 
MM Kwanza nikuombe uweke maslahi yako wazi,wewe kama mwandishi wa riwaya mimi kama mwandishi wa vitabu na makala tunatofautiana sana pale unapojificha chini ya uvungu wa jambo fulani na kupaza sauti,Mwanzo nilijaribu kuelewa mantiki ya makala zako sikuweza ila sasa nafahamu huyu anae jiita mzee mwanakijiji ni nani? kumbe ni mganga njaa kama wale mitume kumi na mbili wa ufisadi, Natumaini nilipokuwa naandika huku elewa nilikuwa nasemea nini ila Mwenye enzi Mungu hamfichi mnafiki tukawaona wanapewa vyeo na kunyamaza,Enzi zile za rai tuliandika baada ya watu kumpamba mtu matokeo yake walipewa cheo.Swali wewe umeahidiwa cheo gani?Karibu mwalimu forum tunaposema ukweli kwa ajili ya mama yetu Tanzania na sio uchonganishi kwa watanzania.Mungu ibariki Tanzania
u-salva rweyimumu
hukummbuki yeye salva alikipataje cheo chake?
 
Nyie watu acheni unafki nilini mlianza kujua kuwa Lowasa ni Fisadi mayowe haya mnayopiga Yanatudhihirishia bila shaka mmekwiba sana kwenye hii NCHI sasa mnaona huyo jamaa akiingia madarakani Atawafanya vibaya huyo MM yuko kzn so Lazima atimize wajibu wa waliomtuma lkn asidhani km kuna MTU asietumia Utumbo kufikiri ataweza kuMbadilisha kwa hizo Ngano....zake wengine tulishaikataa CCM tangu 1995 sasa kuja na blah blah kama hizi nikupoteza Muda wengine tunazipitia hizi thread kwaajili yakuona Watu wazima wanavyojitoa ufahamu sababu Njaa.......[/QUOT

Sio kila asiyemkubali Lowassa ni CCm.
Mimi ni Chadema,Chadema ile iliyokua ikihubiri kuwa Lowassa ni Fisadi.
Sijui tunaelewana lakini?

Kila chama kina malengo yake....hasa kushika DOLA labda wenzetu nyie mnapenda tuwe na Vyama vya kudumu vya Upinzani Jambo ambalo aliweza kufanya mchgj Mtikila manake ilikuwa ni ngumu kumuelewa anasimamia nini... Sikiliza Rafiki nikwambia siwote tunaomchagua LOWASA nikwamba labda tunakubaliana nae sana NO..ila kwakuwa tunaamini ataweza kutusaidia kuvunja Mgongo wa hili JOKA linaloitwa CCM that Y tutamchagua hata km maendeleo hayatakuwa na kwa kasi km tunavyotamani lkn hali haitakuwa hii tuliyonayo leo Tunataka kila baada 5yrs chama kinachotakuwa Madarakani kisiwe nauhakika wakurudi madarakani km kimedanganya km CCM zaidi ya 50yrs hadi wanatoa Ahadi Tuta...Tuta ..badala ya Tumefanya...huu in Upuuzi KENYA hawapo pale kwa Bahati mbaya.....waliamua kusogeza Mbele nchi yao....Hebu niwaulize nyie Hater's wa EL hivi kwa uchaguzi wa Mwaka huu ulivyo taiti SLAA au LIPUMBA angetia KWATO? acheni ndg zangu tunajua wengi maisha yenu yamefungamana na CCM so hatushangai Nitashanga MTU Riz 1 atakubali kusema CCM ni Mbaya
 
Nitalijibu hili swali vile vile... stay tuned. Hatari sasa hivi ni zaidi ya CCM!

Nitasubiri jibu lako..pia utalazimika kuniambia kwa nini hatari hii unaizungumza baada ya Lowassa kuja kuwa mgombea wa UKAWA na haukuizungumza pale tu alipochukua fomu ya kugombea kupitia CCM ama alipoanza harakati alipokuwa CCM.Na je hatari hii ni akiwa UKAWA tu?
 
Ahahahaaa daaah!

Nadhani nilipatwa na 'brain fart' nikashindwa hata kufikiri vizuri.

Lakini kwa upande mwingine ni vizuri zaidi kuuliza na kupata jibu kuliko kusadiki.

Sasa nimekuelewa vyema kabisa, Operesheni Zinduka nayo inaingia akilini [hata kama sikubaliani nayo] na kuanzia sasa nitakuwa nazisubiri tu hizo episodes.



Nani ambae hayupo kwenye payroll ya CCM now?
CCM wanazidi onesha walivyo na uthubutu wa kumkamata yeyote 'ahamie' kwao
kuna thread ilisema Yericko nae kapewa milioni 72 ahamie CCM....it could be uwongo but you can imagine
 
Uchaguzi utakuwaje wa huru na haki wakati tume nzima imeundwa na mwenyekiti wa CCM ambaye chama chake pia kitashiriki huo uchaguzi?

Waache kutusi akili za watu.

Mkuu Uteuzi Kufanywa na Mwenyekiti Wa Chama Haiharalishi Uwepo wa Mbinu Za kupora Ushindi. Kumbuka Licha ya makamishinda Kuteuliwa na Mwenyekiti wa Chama lakini katika Mioyo Yao Inawezekana Kukawa na Utofauti Wa Kimsimamo na Rais. Siku Zote Kutanguliza neno kushindwa Katika Mapambano ni kujikatisha tamaa mapema.... Time will tell
 
Uchaguzi utakuwaje wa huru na haki wakati tume nzima imeundwa na mwenyekiti wa CCM ambaye chama chake pia kitashiriki huo uchaguzi?

Waache kutusi akili za watu.

Mimi kila wakati nakwambia NN Laiti kama CDM ndo ingekuwa CCM Kwanza kusingekuwa na chama cha siasa cha upinzani kinafanya siasa kwa UHURU kama ilivyo leo.Pili Mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi angetoka Tengeru na angekuwa ndugu wa Mtei.Makamishina wote wa tume wangetoka moshi na kilimanjaro.CCM ni mbovu lakini kwa Tanzania CDM ni chama cha kizuzu na kibogus kuwahi kutokea.God forbid
 
Nani ambae hayupo kwenye payroll ya CCM now?
CCM wanazidi onesha walivyo na uthubutu wa kumkamata yeyote 'ahamie' kwao
kuna thread ilisema Yericko nae kapewa milioni 72 ahamie CCM....it could be uwongo but you can imagine

Naelewa kabisa.

Na hata kama siyo kweli, watu wanapata hiyo 'impression' hususan mtu kama Mwanakijiji anapokiri [albeit, indirectly] kwamba naye anapiga propaganda dhidi ya Lowassa na UKAWA kwa ujumla wake.

Yeye anaweza kudai kuwa anasimamia kanuni [jambo ambalo linaweza kuwa kweli au si kweli], lakini mbele ya watu wengine ataonekana ni kibaraka wa CCM.

But such is politics......
 
Mkuu Uteuzi Kufanywa na Mwenyekiti Wa Chama Haiharalishi Uwepo wa Mbinu Za kupora Ushindi. Kumbuka Licha ya makamishinda Kuteuliwa na Mwenyekiti wa Chama lakini katika Mioyo Yao Inawezekana Kukawa na Utofauti Wa Kimsimamo na Rais. Siku Zote Kutanguliza neno kushindwa Katika Mapambano ni kujikatisha tamaa mapema.... Time will tell

Unachosema ni kweli.

Lakini ni kweli pia kuwa, mwenyekiti wa CCM kuunda tume ya taifa ya uchaguzi halafu CCM nayo ni mshiriki wa chaguzi kunaleta mgongano mkubwa sana wa kimaslahi.

Na mtu huhitaji kuwa jiniasi kuuona huo mgongano.

Pia, hata ingekuwa mimi ndo mwenye mamlaka ya kuunda hiyo tume, ni wazi ningeweka watu ambao naamini watakuwa wanashabihiana nami kimtazamo na ambao wataweza kulinda maslahi yangu/ ya chama changu.

Ndo maana sehemu zingine wameamua kuwa na tume huru za uchaguzi.
 
Ameen!

Kuna mambo mengi natofautiana na Mwanakijiji, lakini katika hili, nakubaliana nae moja kwa moja. Ni hvibaya kuona ndugu zetu walikuwa brain washed in the name of mabadiliko, bila kujali mabadiliko wanayoahidiwa na hasi au chanya.

Acheni upotoshaji.... mabadiliko ni mabadiliko...
Ni ajabu kuendelea kutukuza nguo chakavu zinawaacha uchi na kuwadhalilisha ilhali mnao uwezo wa kujinunulia nguo mpya...!
Kipya kipya tu..!!
 
Hiyo contradiction wao hawaioni kabisa na hawawezi kuiona kwa sababu zilizo wazi. Na mimi hapa bado sijasema "mpigieni kura Magufuli". Miye ninachosema ni kile kile nilichokisema miaka nane sasa. Lakini naonekana nimebadilika!

Wazee wengi busara zikianza kuwaishia wanakuwa na hulka kama hizi za kwako... Wala si shangai!!
 
Unachosema ni kweli.

Lakini ni kweli pia kuwa, mwenyekiti wa CCM kuunda tume ya taifa ya uchaguzi halafu CCM nayo ni mshiriki wa chaguzi kunaleta mgongano mkubwa sana wa kimaslahi.

Na mtu huhitaji kuwa jiniasi kuuona huo mgongano.

Pia, hata ingekuwa mimi ndo mwenye mamlaka ya kuunda hiyo tume, ni wazi ningeweka watu ambao naamini watakuwa wanashabihiana nami kimtazamo na ambao wataweza kulinda maslahi yangu/ ya chama changu.

Ndo maana sehemu zingine wameamua kuwa na tume huru za uchaguzi.

Na hilo ndio linalotakiwa kuwepo hapa Tanzania, lakini bila kubadili katiba ya Jamhuri ya Muangano wa Tanzania Hilo la tume huru litabaki kuwa Hadithi na Hata kama likikamilika bado Wateuliwa watakuwa na mapenzi na Vyama Husika na hilo litakuwa Tatizo Jingine..Bila Kubadili mfumo mzima wa kiutawala na Uongozi ni Hadithi kuwa na Tume huru na Hili linanipa ukakasi wa Kutilia mashaka matokeo ya Uchaguzi wa Oktoba 25.. Muda utatuambia
 
NN kuna jambo umesema kuhusiana na tume nitaandika baadaye kidogo uone kwanini bapo awali nilosema safari hii tume ni kisingizio siyo sababu ya upinzani kushindwa.
 
Duh Mzee Mwanakijiji what a waste of time....mbona hukuenda direct to the point? 12 minutes na hujaongea lolote bado. Dah!

Hivi ni lini wewe uliwahi kuwa upinzani...lini? Ni lini wewe ulitaka mabadiliko?

Dakia 5:24 "wengi ambao hawajui, miaka 20 sasa nimekuwa kwenye harakati hizi..."

Dakika 5:51, "..tuliunga upinzani wakati ule na tumeendelea kufanya hivyo. Pamoja na kwamba tuliamini kwamba labda kwa kufanya hivyo chama ambacho kilikuwa kimeleta uhuru Tanzania kingeweza kubadilika lakini hakijabadilika jinsi ambavyo tulikuwa tumetarajia. Labda safari hii kinaweza kikabadilika…"

- Mzee wangu, kwa miaka zaidi ya 50 tumekuwa tukisema hayo hayo unayoyaongea, "labda safari hii kinaweza kikabadilika..." labda..labda..labda...na hakuna siku wamewahi kubadilika!

- Ubaya wa Lowassa ni upi huo ambao mlipokuwa naye mlimuunga mkono kuliko watangaza nia wote waliokuwa kwenye kinyang'anyiro ila sasa amekuwa mbaya kuko Hashim Rungwe (no offence intended)?

- Unataka tena kuja hapa baada ya miaka mitano kutueleza ni kwa namna gani tumejaribu jaribu kuleta upinzani na mwaka 2015 tuliona LABDA watabadilika?


MWISHO: kwenye video zako zitakazofuata tafadhali tafuta mtaalamu akusaidie kwenye speech yako..punguza maneno yasiyo na mantiki. hizi ""eeh" "aaah"! Ninaamini ulijiandaa na uliiandaa speech kabla ya ku-rekodi. Inapoteza ladha kusikiliza! Inakaa kama unawaza kwa kadri unavyozidi kuongea. Go straight to YOUR point..!

Nashukuru.




Haina kuremba, ungesikiliza huku ukitafuna big gii.
 
Usilete pumba hapa watu wameshaamua mabadiliko Mimi na umri wangu wote nmekua kada wa ccm nmekubali mabadiliko nakushangaa ww kijana

kazi kweli kweli. sijui hao vijana wa huko wako vepe! oops nimekosea.
 
mzee hatukutishi bali tunakuambia ukweli msijaribu kucheza na mabomu ambayo alarm imeshaanza kutowa mlio!
kama mlikuwa mnasikia kwa majirani sasa alarm inalia hapa kwetu ole wenu ole wenu vijana hatutarudi nyuma na hamtaweza kuturudisha nyuma me mwenyewe moyo wangu unakaribia kupasuka kwakuona unacho jaribu kutaka kutuaminisha kitu ambacho hakina faida na TANZANIA !!

du! mpelekeni mwenzenu muhimbili kuna kitengo cha moyo.
 
Back
Top Bottom