Elections 2015 Operesheni Zinduka: Uamuzi Sahihi 2015

Elections 2015 Operesheni Zinduka: Uamuzi Sahihi 2015

... you are welcome MMM. Hopefully utatuambia mapya ambayo hatujayasikia kutoka kwa swahiba wako Slaa & co.
 
Ila Mwanakijiji na wewe huwa una mambo mengi sana kiasi unaishia kujichanganya mwenyewe.

Sasa kama ushahitimisha kuwa safari hii Lowassa atashindwa 'clean and clear', kwa nini sasa unakuja na hizi episodes unazodai kwamba kama watu watazisikiliza basi zitabadili mawazo yao kama walikuwa wamepanga kumpa Lowassa kura zao?

Kwa nini unaendelea kuwasaidia CCM(ambao tayari watashinda clean and clear)?

Watu wenye uwezo wa kuuliza haya Tanzania ni very very few.....

cha ajabu sasa wote wanaochangia humu Mwanakijiji atawajibu
but wewe uliemuuliza maswali fikirishi atajifanya hajakuona kabisa..wengine ata replry so fast
 
Mimi sielewi kabisa!

Mtu ambaye atashindwa 'clean and clear' anaanzishiwa 'operesheni zinduka'!

Yote hayo ya nini wakati mtu atashindwa 'clean and clear'?

Manake hoja ni kwamba Lowassa atashindwa, na si kushindwa tu, ni atashindwa vibaya na kihalali kabisa.

Sasa haya mambo ya operesheni za kuzinduka yanahitajika kweli? Nguvu na juhudi zote hizi za nini kwa mtu/ mgombea ambaye ni nonstarter?

Au wanataka asipate hata kura moja [yaani hata yeye mwenyewe asijipigie]?

Hii operesheni kwangu haiingii akilini hata kidogo.
 
Ameshakuwa mwana propaganda. His hatrage for lowassa imeshinda kila kitu, hii ni kama hatumiwi.
Nina mashaka yupo nyuma ya 'familia ya gwajima' kuhusu kumfufua baba yao. Sijui snafikiri ni watz wangapi wanaotaka mabadiliko wanaamini juu ya gwajima kufufua watu? Labda Slaa na mkewe ndio aliamini.
 
Kaka yangu Mzee Mwanakijiji asante sana kwa moyo huu.Namshukuru Mungu kwa kukupa moyo wakuendelea kusimamia unachokiamini bila ksita japo umekua ukidharauliwa na kutukanwa na wanaodhani wana mapenzi na Tanzania zaidi yako.
Tuko pamoja na nina imani iko siku wanaokutusi iko siku watakuja kukuomba radhi.
Nazisubiri kwa hamu show zinazofuata nikiamini zitafungua macho ya walio wengi na kuiona picha halisi.

Lowassa ni balaa na Laana inayojaribu kuikumba Tanzania.
Roho inaniuma natamani hata kulia ninavyoona ndugu zetu wanavyokitamani kipande cha chupa wakidhani ni almasi.
Inauma kuona mtu aliye mchafu mbele ya Mungu na wanadamu akifikia hadi kupewa majina ya watakatifu na ya mitume watakatifu wa Mungu.
Uchaguzi wa mwaka huu shetani amejiinua na kuja kama malaika wa nuru na wengi wamevutiwa nae.
Eeh Mungu tunahitaji msaada wako tuepukane na hili balaa.

Ameen!

Kuna mambo mengi natofautiana na Mwanakijiji, lakini katika hili, nakubaliana nae moja kwa moja. Ni hvibaya kuona ndugu zetu walikuwa brain washed in the name of mabadiliko, bila kujali mabadiliko wanayoahidiwa na hasi au chanya.
 
Ila Mwanakijiji na wewe huwa una mambo mengi sana kiasi unaishia kujichanganya mwenyewe.

Sasa kama ushahitimisha kuwa safari hii Lowassa atashindwa 'clean and clear', kwa nini sasa unakuja na hizi episodes unazodai kwamba kama watu watazisikiliza basi zitabadili mawazo yao kama walikuwa wamepanga kumpa Lowassa kura zao?

Kwa nini unaendelea kuwasaidia CCM(ambao tayari watashinda clean and clear)?

NN, ngosha na wewe unanichekesha bana; sasa hata propaganda tena hujui? unafikiri wanaosema "Lowassa atashinda asubuhi" unafikiri wanaamini kweli hivyo? ingekuwa hivyo si ungeona hata hawasumbuki na mtu kama mimi? suala la kuisaidia CCM ishinde nitalijibu kwa sababu inaendana kabisa na watu kumchukua Lowassa ni kuisaidia CHADEMA ishinde au Lowassa ashinde?
 
Watu wenye uwezo wa kuuliza haya Tanzania ni very very few.....

cha ajabu sasa wote wanaochangia humu Mwanakijiji atawajibu
but wewe uliemuuliza maswali fikirishi atajifanya hajakuona kabisa..wengine ata replry so fast

umesema maswali 'fikirishi'. Mtu kama NN tumetoka mbali sana kiasi kwamba anaponiuliza swali napaswa kumjibu vizuri kabisa kwa hoja. So usiwe na shaka mtu anayeuliza kwa hoja nitamjibu tu kama siyo hapa moja kwa moja basi kwenye mojawapo ya episodes... hii ni ya kwanza tu bado kuna mengi sana ya kuchangia. Worry not - hoja hujibiwa kwa hoja tu.
 
Mimi sielewi kabisa!

Mtu ambaye atashindwa 'clean and clear' anaanzishiwa 'operesheni zinduka'!

Yote hayo ya nini wakati mtu atashindwa 'clean and clear'?

Manake hoja ni kwamba Lowassa atashindwa, na si kushindwa tu, ni atashindwa vibaya na kihalali kabisa.

Sasa haya mambo ya operesheni za kuzinduka yanahitajika kweli? Nguvu na juhudi zote hizi za nini kwa mtu/ mgombea ambaye ni nonstarter?

Au wanataka asipate hata kura moja [yaani hata yeye mwenyewe asijipigie]?

Hii operesheni kwangu haiingii akilini hata kidogo.

You Have Done Nothing, Tutakuchinja Wewe Na Wenzako Tarehe 25 Oct Kweupe,
Peopleeeeee's?
Poweeeeeeeeer
Lowassa?
Mabadilikooooo
Mabadiliko?
Lowassaaaaaaa
Tunzeni Vichinjio Vyenu.
 
Tatizo lako Mwanakijiji unajiona una akili kutushinda siye tulioko hapa bongo. Unajidanganya broo.

Tuache tuchague tunavyopenda, usijaribu kabisa kumzaa Ishmaili.

It is the wearer who knows where the shoe pinches. We know well that CCM has broken us, hutafaulu kuwapigia kampeni.

Wewe tafuna hivyo vijihela ulivyopewa na utuache tuamue wenyewe. Usitushawishi Mwanakijiji.
 
NN, ngosha na wewe unanichekesha bana; sasa hata propaganda tena hujui? unafikiri wanaosema "Lowassa atashinda asubuhi" unafikiri wanaamini kweli hivyo? ingekuwa hivyo si ungeona hata hawasumbuki na mtu kama mimi? suala la kuisaidia CCM ishinde nitalijibu kwa sababu inaendana kabisa na watu kumchukua Lowassa ni kuisaidia CHADEMA ishinde au Lowassa ashinde?

Ahahahaaa daaah!

Nadhani nilipatwa na 'brain fart' nikashindwa hata kufikiri vizuri.

Lakini kwa upande mwingine ni vizuri zaidi kuuliza na kupata jibu kuliko kusadiki.

Sasa nimekuelewa vyema kabisa, Operesheni Zinduka nayo inaingia akilini [hata kama sikubaliani nayo] na kuanzia sasa nitakuwa nazisubiri tu hizo episodes.
 
Ila Mwanakijiji na wewe huwa una mambo mengi sana kiasi unaishia kujichanganya mwenyewe.

Sasa kama ushahitimisha kuwa safari hii Lowassa atashindwa 'clean and clear', kwa nini sasa unakuja na hizi episodes unazodai kwamba kama watu watazisikiliza basi zitabadili mawazo yao kama walikuwa wamepanga kumpa Lowassa kura zao?

Kwa nini unaendelea kuwasaidia CCM(ambao tayari watashinda clean and clear)?

a very good question! ngoja nicheki kalijibu vipi hili...
 
Huo uteuzi hata mimi ulinipa mashaka, kwanza aliyekua mkurugenzi alipelekwa kwa majaji, msaidizi wake akapandishwa juu. Nasikia kwenye IT nako yamefanyika mabadiliko, kana kwamba haitoshi mwenyekiti anaaminihsa watu wauamini mfumo wa uchaguzi kwamba utakua wa haki na huru kwa kuwaahidi kwamba matokeo yatabandikwa vituoni.

Nahisi kuna kitu kikubwa sana kipo nyuma ya huu mpango mzima, suala la ushindi ni zaidi ya kura zitakazopigwa na wananchi.

Hakuna mtendaji yeyote wa serikali aliyewahi kuwa makini kiasi hicho. Wizi wa kura kwa kutumia michakato ya ki IT unahutaji uzoefu, umakini na efficiency ya hali ya juu. I am 100% sure kuwa grave miscommunications zitatokea kati ya uongozi wa juu wa tume, makamishna, na wasimamizi majimboni. Ukijumlisha na pressure ya umma watanzania na mataifa mbalimbali, watachanganyikiwa mapema sana...

Kuiba wataiba, lakini utakuwa wizi wa mchana, yaani kila detail ya wizi itakuwa wazi.
 
Hawawezi kukuelewa dadangu; ndugu zetu wameamua kubinafsisha mabadiliko na taasisi ya CDM leo siyo ile tena; kwenye ngazi ya taifa (kama nitakavyoonesha zaidi mbeleni) wapinzani wa kweli watakuwa wamebakia majimboni tena wale ambao hawakuuza haki yao ya kwanza kwa tamaa ya njia ya mkato. Kama kila timu inayoenda kwenye fainali ingekuwa inapewa nafasi ya kumchukua mshambuliaji wa ile timu nyingine ili ishinde fainali nyingi zingeweza hivyo!
You are trying to devide so you can rule. CHADEMA ya majimboni wako pamoja na viongozi wao wa kitaifa. Wewe unaonekana una borderline personality disorder. Let the people make the decision of a leader they want. After all tell us what you as mwanakijiji has done for our country that will convince people tot listen to your propaganda. Those who have been in power for 50 years have proved beyond reasonable doubt that they have ran out of breath, as kingunge put it. We need a new team and we have chosen UKAWA. SASA HIVI HATA UJE NA ASALI HAKUNA ATAKAYEIONJA. KICHINJIO KINANOLEWA. OCTOBER 26 sio mbali.we have made a choice and our next president is LOWASSA.
 
Mwanakijiji hili swala umeliongelea kwa nafsi yako wewe ili uweze kuwashawishi na watu wengine hapa jf
Lakini watu wenyewe ndio hao wanakubishia
Inamaana kwa kupitia hilo inaonyesha kwamba ni jinsi gani wazo lako limefeli kwa 99%
Hilo swala achana nalo utapoteza muda na watu hawezi kuacha kumpenda lowasa na wasimpe kura kisa mwanakijiji kasema. Hilo swala ni gumu sana mwanakijiji tafuta wazo lingine la maana watu watakuelewa.
 
Huwezi kuwaza kama sisi kwa sababu tunayoyapitia kila siku huyajui....
Ingependeza sana ukifanya operesheni kwenye vichwa vya wamarekani wenzio ili watende yanayostahili...!!

Mtu unakesha kwenye internet kuandika upuuzi wako kwa lengo tu la kupotosha ukweli wa matukio...
Wengi wamechoka na suluhisho wanaona lipo kwa kuiondoa ccm.... Haijalishi inaondoka kwa stahili gani...!!!
Mzee kama unazeeka vibaya utuambie.... Hatuwezti tena kuipa ccm miaka mingine 5-10 ikiwa yenyewe imejitenga na waTanzania...!!
Umeishi maisha na ktumia pumzi yako nyingi kupambana kulaghai kuiondoa ccm...leo inakaribia kuondoka ndo unaibuka katika ubora wako kwa rangi zako zote... STAY AWAY FROM US or LEAVE US ALONE.... Shame on you..!! If you are not on our side; you are just like them - you are our enemy..!!

Wapeni waTanzania nchi yao wakiwa bado wapole na wenye shauku ya kuipata kupitia sanduku la kura.... Fanyeni hivyo haraka kwa kusoma alama za nyakati.!
 
Program Note:
Operesheni Zinduka - Episode 2 "Makosa 2 ya Dr. Slaa na 1 la Mbowe - Jumatano Oktoba 7, 2015) Stay tuned

Acha kutuyeyusha, hebu tuambie unatumia masaa ya wapi (Marekani - East, Mid au West) ama ya Tanzania?

Nipo Ukanda wa Pasifiki huku hivyo toka jana nasubiri Episode 2 uliyosema unaitoa leo ila sasa inaonekana unaitoa kesho!
 
Back
Top Bottom