Elections 2015 Operesheni Zinduka: Uamuzi Sahihi 2015

Duh Mzee Mwanakijiji what a waste of time....mbona hukuenda direct to the point? 12 minutes na hujaongea lolote bado. Dah!

Hivi ni lini wewe uliwahi kuwa upinzani...lini? Ni lini wewe ulitaka mabadiliko?

Dakia 5:24 "wengi ambao hawajui, miaka 20 sasa nimekuwa kwenye harakati hizi..."

Dakika 5:51, "..tuliunga upinzani wakati ule na tumeendelea kufanya hivyo. Pamoja na kwamba tuliamini kwamba labda kwa kufanya hivyo chama ambacho kilikuwa kimeleta uhuru Tanzania kingeweza kubadilika lakini hakijabadilika jinsi ambavyo tulikuwa tumetarajia. Labda safari hii kinaweza kikabadilika…"

- Mzee wangu, kwa miaka zaidi ya 50 tumekuwa tukisema hayo hayo unayoyaongea, "labda safari hii kinaweza kikabadilika..." labda..labda..labda...na hakuna siku wamewahi kubadilika!

- Ubaya wa Lowassa ni upi huo ambao mlipokuwa naye mlimuunga mkono kuliko watangaza nia wote waliokuwa kwenye kinyang'anyiro ila sasa amekuwa mbaya kuko Hashim Rungwe (no offence intended)?

- Unataka tena kuja hapa baada ya miaka mitano kutueleza ni kwa namna gani tumejaribu jaribu kuleta upinzani na mwaka 2015 tuliona LABDA watabadilika?

MWISHO: kwenye video zako zitakazofuata tafadhali tafuta mtaalamu akusaidie kwenye speech yako..punguza maneno yasiyo na mantiki. hizi ""eeh" "aaah"! Ninaamini ulijiandaa na uliiandaa speech kabla ya ku-rekodi. Inapoteza ladha kusikiliza! Inakaa kama unawaza kwa kadri unavyozidi kuongea. Go straight to YOUR point..!

Nashukuru.

Aisee nimemsikiliza huyu mtu nikaamini kweli kuna watu wanaakili za kushikiwa.

Hivi Tanzania ilipofika bado kuna kijana mwenye nguvu ya kumpinga mgombea wa upinzani hata angekua ni panya?

Hivi hata Mzee Kingunge anauchungu kuliko vijana ambao wana years ahead???

Ivi Wa Tanzania tuko serious kabisa tunashabikia CCM? Kwa lipi?

MMM unahisi kwa kumpinga Lowasa unamsapoti nani? Kwalipi? Na kwa faida ya nani?

Unaposema Watanzania wamenyimwa mgombea sahihi, halafu unasema hauna tatizo Na uongozi/Mbowe, huoni ni unafiki?

Nani amewanyima? Ulitaka awe nani? Vita yako unamuelekezea nani?

Tanzania iko pabaya, maybe kwavile wewe ni mwanaume hauingii chumba cha uzazi, hujui adha tuipatayo wanawake, maybe ndio maana unaujasiri wa kuongea unayoyaongea.

Jamani, tuwe realistic, wa Tanzania tunateseka...we need change ya mfumo, Na huweziujua unless umeupa nafasi.

UKAWA is all I need! Hope you Know what that means.

MMM acha ujinga.

Gudluck!
 
Last edited by a moderator:
Bravo Mzee Mwanakijiji kwa kuleta Operation Zinduka! Nafikiri wengi wetu ambao hatuna vyama tutazinduka. Hata hivyo, wimbo wa kumuenzi Mch. Mtikila ulitakiwa uwe na neno "TANGANYIKA" badala ya Tanzania, kwani alipigania sana UTANGANYIKA!
 
NB: Video Inafuata

Operesheni Zinduka imeanza kama nilivyoahidi (jana haikuwezekana kwa sababu moja tu ya heshima ya Mch. Mtikila na haihusiani na mipango ya watu wengine). Nitajitahidi kuwa na onesho hili kila siku (ukiondoa mwisho wa Juma) na nitazungumzia mada mbalimbali. Wiki hii ya kwanza zaidi nitagusia hoja nyingi zilizoibuliwa kutushangaa tunaomkataa Lowassa kama mgombea Urais kwa tiketi ya upinzani.

La pili nitajitahidi hasa wiki ile inayokuja kutoa nafasi kwa wagombea wa CHADEMA kwenye Ubunge (ambao tutaweza kuwafikia) ili wajiuze kwani ninaamini Bunge lenye nguvu lililoundwa na watu waliolelewa na kukomaa katika upinzani na wenye kuelewa hasa ajenda ya upinzani ndio chachu ya kweli ya mabadiliko tuyatakayo. Hivyo, wiki ile inayokuja tutatoa nafasi hii kwa wote tutakaoweza kuwapata.

Tatu, kwa vile nina uhakika wapo wengi ambao hawajakubaliana na uamuzi wangu huu (ambao naamini ni sahihi) basi nitatoa nafasi pia kwa watu wengine kutoa hoja zao dhidi ya ninachosema (sikiliza onesha hili juu ya 'mashart kuzingatiwa'). Kwa barua pepe anuani yangu ipo chini na namna nyingine ya mawasiliano nitawajulisha siku chache zijazo.

Nitajitahidi kuweka shows zote kwenye uzi huu huu kila siku, na video zitafuata chini toka ya zamani zaidi hadi mpya zaidi.

Mwisho, ninaamini na nina uhakika kuwa kwa atakayeamua kunisikiliza kuanzia sasa hadi kuamkia Uchaguzi Mkuu hatoweza kumpigia Lowassa kura ya Urais. Ni kwa sababu hiyo wale ambao tayari wameshaamua kuwa haijalishi nini kitasemwa juu ya Lowassa nawaomba au kuwashauri wasisikilize mada hizi wasije kujikuta wanabadili mawazo. Mada hizi ni kwa wale tu ambao bado hawajaamua au wale ambao wameamua lakini bado wanajikuwa wanavuta na upepo wa 'nyomi' kiasi kwamba bado hawajathibitika katika msimamo wao.

"Uamuzi Makini, Uamuzi wa Lazima, Uamuzi Sahihi"

MMM

ONESHO 1. "Baada ya Kelele Sauti za Hoja Zitashinda"

Kwa hiyo kwa hizi drama zako za kila siku adui yako ni Lowassa ndani ya CCM na sio CCM yenyewe na kwa upande wa CHADEMA ambayo ulikuwa unaishabikia na hata makala zako nyingi kuziweka kule kwenye gazeti la Tanzania Daima Rafiki na kipenzi chako ilikuwa ni Slaa. Kwa hiyo kiuhalisia wewe haujitambui kwani umejikita zaidi kushabikia watu kuliko chama au vyama na hapa umnaonyesha chuki za wazi kwa Lowassa kuliko mgombea yeyote yule, ili kuweka sawa hizi tuhuma na chuki zako kwa Lowassa naomba unijibu haya maswali yangu.

1. Kosa kubwa mnalompachika Lowassa ni kashfa ya RICHMOND, je ile mitambo aliyoipokea kwa mbwembwe Kikwete wakakati ule bado ipo nchini?
2. Ninavyojua mimi mkataba ule haukuvunjwa na hivyo serikali kupitia TANNESCO hadi sasa inalipa zile Million 152 kila siku, je ni nani anayepokea fedha hizo kwa sasa?
3. Tujikite zaidi kwenye takwimu je Lowassa amelitia hasara Taifa la Tanzania kwa fedha kiasi gani? kwani kwa huyo Mgombea unaotaka watanzania wamchague amelitia hasara Taifa kwa Wizara anayoisimamia kupoteza Billion 262 kwani hadi sasa haijulikani zilikokwenda, Amelisababishia Taifa hasara ya kulipa fedha zisizopungua Billion 3.6 kwa kukamata ile meri ya samaki pasipo kutumia akili na mwisho kuhusu uuzwaji wa nyumba za serikali.Tumeshuhudia Mramba na Yona wakihukumiwa kwa kulisababishia hasara taifa zaidi ya Tsh. billion 11 na wamehukumiwa kwa hiyo naomba uniambie alichokipoteza Lowassa.

Last edited by a moderator:
NB: Video Inafuata

Operesheni Zinduka imeanza kama nilivyoahidi (jana haikuwezekana kwa sababu moja tu ya heshima ya Mch. Mtikila na haihusiani na mipango ya watu wengine). Nitajitahidi kuwa na onesho hili kila siku (ukiondoa mwisho wa Juma) na nitazungumzia mada mbalimbali. Wiki hii ya kwanza zaidi nitagusia hoja nyingi zilizoibuliwa kutushangaa tunaomkataa Lowassa kama mgombea Urais kwa tiketi ya upinzani.

La pili nitajitahidi hasa wiki ile inayokuja kutoa nafasi kwa wagombea wa CHADEMA kwenye Ubunge (ambao tutaweza kuwafikia) ili wajiuze kwani ninaamini Bunge lenye nguvu lililoundwa na watu waliolelewa na kukomaa katika upinzani na wenye kuelewa hasa ajenda ya upinzani ndio chachu ya kweli ya mabadiliko tuyatakayo. Hivyo, wiki ile inayokuja tutatoa nafasi hii kwa wote tutakaoweza kuwapata.

Tatu, kwa vile nina uhakika wapo wengi ambao hawajakubaliana na uamuzi wangu huu (ambao naamini ni sahihi) basi nitatoa nafasi pia kwa watu wengine kutoa hoja zao dhidi ya ninachosema (sikiliza onesha hili juu ya 'mashart kuzingatiwa'). Kwa barua pepe anuani yangu ipo chini na namna nyingine ya mawasiliano nitawajulisha siku chache zijazo.

Nitajitahidi kuweka shows zote kwenye uzi huu huu kila siku, na video zitafuata chini toka ya zamani zaidi hadi mpya zaidi.

Mwisho, ninaamini na nina uhakika kuwa kwa atakayeamua kunisikiliza kuanzia sasa hadi kuamkia Uchaguzi Mkuu hatoweza kumpigia Lowassa kura ya Urais. Ni kwa sababu hiyo wale ambao tayari wameshaamua kuwa haijalishi nini kitasemwa juu ya Lowassa nawaomba au kuwashauri wasisikilize mada hizi wasije kujikuta wanabadili mawazo. Mada hizi ni kwa wale tu ambao bado hawajaamua au wale ambao wameamua lakini bado wanajikuwa wanavuta na upepo wa 'nyomi' kiasi kwamba bado hawajathibitika katika msimamo wao.

"Uamuzi Makini, Uamuzi wa Lazima, Uamuzi Sahihi"

MMM

ONESHO 1. "Baada ya Kelele Sauti za Hoja Zitashinda"
Mzee mwanakijiji,
unaweza ukawa na point. lakini kwa hali hii ya Kikwete na Mkapa kutuchagulia maraisi, huku wewe mwenyewe ukijua kwamba hao watu ni waovu kupindukia, halafu ukaziba masikio kama vile huoini, tutakudharau. Yes, tutakudharau. Mimi mwenyewe naamini tutapata changamoto sana uchaguzi mkuu wa CHADEMA utakapofika kwa hay manyanga'u ya CCM yanaoyojiunga kwa kasi ndani ya CHADEMA. But, with all respect to you, tunataka kuvunja mwiko - period! CCM wamejisahau, wanadhani they can rule this country kwa pesa ya fulana kofia na chumvi. No ! lazima ifike mahali wajue hata sisi ambao siyo wanasiasa tunafeeling! Yaani wewe unaona sahihi nchi hii iendeshwe na kina Liz One, Kingwangwala, Makamba and Mwigulu kuliko Lowasa? Hapana. Heri Lowasa na Sumaye watuongoze, siyo hao wauza unga, ambao nina uhakika wanawalipa nyinyi waandishi wa habari. Tafadahari Mzee Mwanakijiji, heri Lowasa kuliko Magufuli anayeelea kwa mgongo wa wala rushwa, Mkapa na Kikwete! Heri Lowasa Mwizi tunayemfahamu anayejua anatka kufanya nini, kuliko mMagufuli ambaye hata vyombo vya dola havitamheshimu. Magufuli ni ni mdomo wa Kikwete na Mkapa. Hata CCM hawamwamimini. Ataongoza nchi kama mgombea binafsi? Acheni utani na maslahi mapana ya nchi. Magufuli is nothing but a puppet of Kikwete and Mkapa. Tutampigia kura raisi anayejua natka kuifanyia nini Tanzania, siyo Raisi anayesema hatatuangusha. Hana ajenda yoyote inayompeleka ikulu zaidi ya kwenda kulinda mfumo unaowafanya nyinyio muendelee kutunyonya huku mkidahani ni " enlighted diasporas". Go to hell.
We want change. and that change CAN NOT COME WITHIN CCM......
 
Last edited by a moderator:
Wenzako wapo jukwaani na wana support ya nguvu ya Dola lakini hadi sasa wapo hoi taaban ndiyo uje wewe? labda utuambie ni ushauri wa kidaktari kuwa ufanye hivyo ili kupunguza stress na misongo.
na ukweli ni kuwa huna uwezo wa kubadilisha mtu katika kuchagua kumpigia kula nani maana ungekua na uwezo huo basi ccm ingekua nje ya madaraka kitambo tu.
 
Sikuwahi kuwa fan wa Lowassa siku za nyuma, lakini kila siku navutika kwake kwa sababu ya watu kama MMM.

Kwanini kila siku ni Lowassa? Hii nguvu kubwa ya kumpinga Lowassa ni ya nini? Hofu ya watu kwa Lowassa ni nini? Is he an immortal being or what? Kwani akiwa rais si kama ilivyokuwa kwa Mwinyi, Mkapa, Kikwete na kwamba atapita kama wengine walivyopita? Kama ndivyo, then what is all this fuss about??

Edo a.k.a fimbo yao. Wanajua madudu yao so lazma waogope kumpa MTU ambae atayavuruga. He covered for them wakamuona mjinga, sasa the real leader is walking his way to magogoni, blind leaders are shaking!!!

Go Edo...with u alllllll the way!
Peopleeeeeeeeeees!
 
Kwa Intro yako tu umeshapoteza nguvu na uwezo wa kushawisi kwa lengo la kubadilisha maamuzi ya watu. unapendeza zaidi kwenye nafasi ya upinzani, acha niwatakieni upinzani mwema.
 
Tupo tunakusikiliza, wengine tumeshaamua kuwa Lowassa hafai kwa kutumia tu akili za kawaida.
 
Fanya Ufanyavyo Mzee Mwanakijiji lakini hii ndiyo imani yangu hata nikikusikiliza ukiwa ndotoni ndugu, NDIYO ya CCM always ni HAPANA ya wananchi kama mimi, na HAPANA ya CCM sikuzote huwa ni NDIYO ya wananchi kama mimi.

Now kwa sasa CCM wanamkataa lowassa kwa Maana ya Hapana now how come wewe leo uniaminishe kuwa Hapana hii ya CCM leo iapaswa kuaminiwa??

NEVER EVER my Friend
 
Last edited by a moderator:
Wenzako wapo jukwaani na wana support ya nguvu ya Dola lakini hadi sasa wapo hoi taaban ndiyo uje wewe? labda utuambie ni ushauri wa kidaktari kuwa ufanye hivyo ili kupunguza stress na misongo.
na ukweli ni kuwa huna uwezo wa kubadilisha mtu katika kuchagua kumpigia kula nani maana ungekua na uwezo huo basi ccm ingekua nje ya madaraka kitambo tu.
Leo anatuambia alikuwa mwanaharakati miaka 20 iliyopita kama alikuwa na nguvu ya kuzuia Treni alishindwa vipi kuzitumia nguvu hizi kuzuia Treni la CCM 2010 akiwa mwanaharakati. HII sasa ni mazingaombwe bila kiingilio
 
Well said MMM

Kweli Taifa litamkumbuka Mch.Mtikila Kama baba wa MAGEUZI/MABADILIKO TZ.
RIP Rev

Queen Esther

NB: Video Inafuata

Operesheni Zinduka imeanza kama nilivyoahidi (jana haikuwezekana kwa sababu moja tu ya heshima ya Mch. Mtikila na haihusiani na mipango ya watu wengine). Nitajitahidi kuwa na onesho hili kila siku (ukiondoa mwisho wa Juma) na nitazungumzia mada mbalimbali. Wiki hii ya kwanza zaidi nitagusia hoja nyingi zilizoibuliwa kutushangaa tunaomkataa Lowassa kama mgombea Urais kwa tiketi ya upinzani.

La pili nitajitahidi hasa wiki ile inayokuja kutoa nafasi kwa wagombea wa CHADEMA kwenye Ubunge (ambao tutaweza kuwafikia) ili wajiuze kwani ninaamini Bunge lenye nguvu lililoundwa na watu waliolelewa na kukomaa katika upinzani na wenye kuelewa hasa ajenda ya upinzani ndio chachu ya kweli ya mabadiliko tuyatakayo. Hivyo, wiki ile inayokuja tutatoa nafasi hii kwa wote tutakaoweza kuwapata.

Tatu, kwa vile nina uhakika wapo wengi ambao hawajakubaliana na uamuzi wangu huu (ambao naamini ni sahihi) basi nitatoa nafasi pia kwa watu wengine kutoa hoja zao dhidi ya ninachosema (sikiliza onesha hili juu ya 'mashart kuzingatiwa'). Kwa barua pepe anuani yangu ipo chini na namna nyingine ya mawasiliano nitawajulisha siku chache zijazo.

Nitajitahidi kuweka shows zote kwenye uzi huu huu kila siku, na video zitafuata chini toka ya zamani zaidi hadi mpya zaidi.

Mwisho, ninaamini na nina uhakika kuwa kwa atakayeamua kunisikiliza kuanzia sasa hadi kuamkia Uchaguzi Mkuu hatoweza kumpigia Lowassa kura ya Urais. Ni kwa sababu hiyo wale ambao tayari wameshaamua kuwa haijalishi nini kitasemwa juu ya Lowassa nawaomba au kuwashauri wasisikilize mada hizi wasije kujikuta wanabadili mawazo. Mada hizi ni kwa wale tu ambao bado hawajaamua au wale ambao wameamua lakini bado wanajikuwa wanavuta na upepo wa 'nyomi' kiasi kwamba bado hawajathibitika katika msimamo wao.

"Uamuzi Makini, Uamuzi wa Lazima, Uamuzi Sahihi"

MMM

ONESHO 1. "Baada ya Kelele Sauti za Hoja Zitashinda"
 
Last edited by a moderator:
Aisee nimemsikiliza huyu mtu nikaamini kweli kuna watu wanaakili za kushikiwa.

Hivi Tanzania ilipofika bado kuna kijana mwenye nguvu ya kumpinga mgombea wa upinzani hata angekua ni panya?

Hivi hata Mzee Kingunge anauchungu kuliko vijana ambao wana years ahead???

Ivi Wa Tanzania tuko serious kabisa tunashabikia CCM? Kwa lipi?

MMM unahisi kwa kumpinga Lowasa unamsapoti nani? Kwalipi? Na kwa faida ya nani?

Unaposema Watanzania wamenyimwa mgombea sahihi, halafu unasema hauna tatizo Na uongozi/Mbowe, huoni ni unafiki?

Nani amewanyima? Ulitaka awe nani? Vita yako unamuelekezea nani?

Tanzania iko pabaya, maybe kwavile wewe ni mwanaume hauingii chumba cha uzazi, hujui adha tuipatayo wanawake, maybe ndio maana unaujasiri wa kuongea unayoyaongea.

Jamani, tuwe realistic, wa Tanzania tunateseka...we need change ya mfumo, Na huweziujua unless umeupa nafasi.

UKAWA is all I need! Hope you Know what that means.

MMM acha ujinga.

Gudluck!

TanZania ni zaidi ya KLM, hivyo kama unataka kuchagua UKAWA kawachague kwenu Moshi na usitake kuwalazimisha WatanZania wengine wa MZ, Shy, IR, MB, KV, TA, BK, MT, MR, DO,TB, PW, SG, wawe watumwa wa KLM!

Raisi wa V wa JMTZ ni Dr.Pombe Magufuli!

No time to waste ..... nchi inakumbwa na ukame na kuna hitilafu ya chakula katika sehemu kubwa ya nchi ..... wewe unashabikia unafiki na chuki za kisiasa

Njoo kwenye majukwaa on the ground uwaeleze wananchi Wa mijini na vijijini utawafanyia mini ili waondokane na changamoto na ukali Wa maisha

Unless otherwise you are a puppet of all the time

Umrnena Kiongozi wangu!!!!!
 
Mimi ningekuunga mkono kama bunge la katiba lingeunddwa upya kwamba tuongezeeidadi ya wabunge wa upinzani ili tupate katiba ya wananchi.

Lowasa amepanda basi la mabadiliko hivyo mabadiliko ndiyo yataamua kuhusu Katiba mpya..

Magufuli kwa katiba na sheria mbovu tulizo nazo hawezi kufuta hata sheria ndogo za halmashauri achana na mikataba mibovu ya gesi, madini na umeme.

Nchi inakusanya bil 900 kwa mwezi magufuli amekiri akiingia anapiga Mara mbili yaani tril 1.8 Mara 12 ni Karibu tril 22 hivyo bajeti ya mwaka huu itakuwa na deficit ya trillion 2, hapo ndo uwezo wake kwa nini tusimchague lowasa ambaye plan zake ni zaidi ya tril 50 kwa mwaka?

Nakushauri bwana majura sypirian achana na huo mradi wa kuturudisha nyuma.
 
TanZania ni zaidi ya KLM, hivyo kama unataka kuchagua UKAWA kawachague kwenu Moshi na usitake kuwalazimisha WatanZania wengine wa MZ, Shy, IR, MB, KV, TA, BK, MT, MR, DO,TB, PW, SG, wawe watumwa wa KLM!

Raisi wa V wa JMTZ ni Dr.Pombe Magufuli!

Yaelekea una mapunguvu mengi sana katika fikira zako!!
 
Tupo tunakusikiliza, wengine tumeshaamua kuwa Lowassa hafai kwa kutumia tu akili za kawaida.

Kweli ndiyo maana mnaitwa manyumbu kwa maana hamna akili, ukimsoma mleta mada ameshaliongelea hili kwamba kama tayari umeshaamua hauna haja ya kusikiliza sasa kama hata kusoma ni tabu utawezaje kumpigia kura hata huyo unayempenda kwama maana hata karatasi ya kupigia kura kuna kusoma pia hauwezi kukwepa!
 
Leo anatuambia alikuwa mwanaharakati miaka 20 iliyopita kama alikuwa na nguvu ya kuzuia Treni alishindwa vipi kuzitumia nguvu hizi kuzuia Treni la CCM 2010 akiwa mwanaharakati. HII sasa ni mazingaombwe bila kiingilio

Huyo jamaa ana msisongo mibaya sana. yaani anajiaminisha kabisa kuwa yeye ana uwezo wa kubadilisha upepo. kama yeye anaona hakubaliai na hali ya mambo ilivyo ilikua ni busara kwake kutulia kimya. hata nguvu aliyo nayo sasa hivi lowasa ni tofauti kabisa na nguvu aliyokua nayo kipindi anaingia upinzani, sasa hivi nguvu yake imeongezeka mara tatu zaidi na imechangiwa kwa kiasi kikubwa sana na hawa hawa wapinzani wake na aina ya style wanayoitumia wakidhani itampausha ndiyo kwanza imezidi kumng'arisha na kumuweka juu ya wapinzani wake kila uchao.
 
Mimi ningekuunga mkono kama bunge la katiba lingeunddwa upya kwamba tuongezeeidadi ya wabunge wa upinzani ili tupate katiba ya wananchi.

Lowasa amepanda basi la mabadiliko hivyo mabadiliko ndiyo yataamua kuhusu Katiba mpya..

Magufuli kwa katiba na sheria mbovu tulizo nazo hawezi kufuta hata sheria ndogo za halmashauri achana na mikataba mibovu ya gesi, madini na umeme.

Nchi inakusanya bil 900 kwa mwezi magufuli amekiri akiingia anapiga Mara mbili yaani tril 1.8 Mara 12 ni Karibu tril 22 hivyo bajeti ya mwaka huu itakuwa na deficit ya trillion 2, hapo ndo uwezo wake kwa nini tusimchague lowasa ambaye plan zake ni zaidi ya tril 50 kwa mwaka?

Nakushauri bwana majura sypirian achana na huo mradi wa kuturudisha nyuma.

Kwa ujumla mwambie ya kwamba gari limeshawaka tayari na kamwe haisimami mpk kituoni tu na tar 25 ndiyo msema kweli!!
 
Rudi nyumbani leta na watoto wako wakasome shule zetu na kutibiwa kwenye hizi hospitali zetu. Siyo kukimbia nchi yako na kujitia una harakati za kukomboa nchi. Kama una kipato kodi unamlipia mmarekani na haitusaidii katika kuinua uchumi wetu. Unatuchanganya watu ambao tunaangaika na maisha na sasa tumeona mwanga na tunahitaji kufanya mabadiliko. kwa hiyo hizi kelele zako hazitubadilishi. Kwa taarifa mwaka huu hata tungewekewa jiwe tungelichagua kuliko ili zimwi CCM. Maana ukipinga Lowasa unataka tuchague CCM. Kwa hiyo wewe CCM uliyetumwa hutubabaishi hatuichagui

Back
Top Bottom