.leo hii anataka tuamini kwa miaka 20 alikuwa upinzani? Ninachojua - na kuamini- ni kuwa muda wote huo akiwa mwanachama wa ccm amekuwa akijua na kuona kuwa hawatendi sawasawa na ahadi zao na hili amekuwa akilipigia kelele tangu enzi hizo. Leo unataka kutuaminisha fikra zako ni huru (ilhali uliomba kadi ya uanachama)!???
Hivi unawachukuliaje Watanzania kwa mfano? Yani mimi shida yangu kwako ni kutudanganya tu! Nisigekuona muongo na mfitini kama ungeacha kutumia sifa hiyo ya 'mwandishi huru' useme tu wewe ni ccm na ndiyo sababu ya kutomtaka Lowassa! .
nilidhani atatumia chopa au basi hata Land cruiser kuzunguka angalau mikoa yote ya Tanzania kueneza fitina zake kumbe yupo studio anarekodi operesheni .... this is too low ....
half a hero half a coward is absolutely a coward
Kweli ndiyo maana mnaitwa manyumbu kwa maana hamna akili, ukimsoma mleta mada ameshaliongelea hili kwamba kama tayari umeshaamua hauna haja ya kusikiliza sasa kama hata kusoma ni tabu utawezaje kumpigia kura hata huyo unayempenda kwama maana hata karatasi ya kupigia kura kuna kusoma pia hauwezi kukwepa!
Hivi ni lazima uchangie hii hoja mkuu!?
Kusoma na kukaa kimya kutalinda heshima yako pia.
Ubarikiwe Mentor kwa kuonesha uongo wa huyu mbwiga.Huyu ni Mzee Mwanakijiji;
Pasco akamfariji;
[FONT=century gothic [B]Mzee Mwanakijiji[/B] akamjibu;[/FONT]
.leo hii anataka tuamini kwa miaka 20 alikuwa upinzani? Ninachojua - na kuamini- ni kuwa muda wote huo akiwa mwanachama wa ccm amekuwa akijua na kuona kuwa hawatendi sawasawa na ahadi zao na hili amekuwa akilipigia kelele tangu enzi hizo. Leo unataka kutuaminisha fikra zako ni huru (ilhali uliomba kadi ya uanachama)!???
Hivi unawachukuliaje Watanzania kwa mfano? Yani mimi shida yangu kwako ni kutudanganya tu! Nisigekuona muongo na mfitini kama ungeacha kutumia sifa hiyo ya 'mwandishi huru' useme tu wewe ni ccm na ndiyo sababu ya kutomtaka Lowassa! .
UKAWA kwa moto, CCM kwa moto!
Naweza kuelewa unavyopata tabu katika fikra. Unashindwa kui support CCM na Magufuli waziwazi kwa sababu unaogopa kula matapishi yako lakini pia unashindwa kuisupport UKAWA/CDM kwa sababu wamemweka msiyemtaka, wamekataa kufuata 'masharti' mliyowapa (ili mkubaliane nao).
Muhimu ni kuwa watanzania wengi tayari wanajua wanachotaka.....Mabadiliko. Unachoweza kufanya kwa sasa ni kuwaambia ni vipi watayapata kutoka CCM else watayatafuta kutoka UKAWA!
Pole sana MMM.
nilidhani atatumia chopa au basi hata Land cruiser kuzunguka angalau mikoa yote ya Tanzania kueneza fitina zake kumbe yupo studio anarekodi operesheni .... this is too low ....
half a hero half a coward is absolutely a coward
Low as a kama maji,huja ya nywa, utayaoga.utayafulia,utapikia.
NB: Video InafuataOperesheni Zinduka imeanza kama nilivyoahidi (jana haikuwezekana kwa sababu moja tu ya heshima ya Mch. Mtikila na haihusiani na mipango ya watu wengine). Nitajitahidi kuwa na onesho hili kila siku (ukiondoa mwisho wa Juma) na nitazungumzia mada mbalimbali. Wiki hii ya kwanza zaidi nitagusia hoja nyingi zilizoibuliwa kutushangaa tunaomkataa Lowassa kama mgombea Urais kwa tiketi ya upinzani. La pili nitajitahidi hasa wiki ile inayokuja kutoa nafasi kwa wagombea wa CHADEMA kwenye Ubunge (ambao tutaweza kuwafikia) ili wajiuze kwani ninaamini Bunge lenye nguvu lililoundwa na watu waliolelewa na kukomaa katika upinzani na wenye kuelewa hasa ajenda ya upinzani ndio chachu ya kweli ya mabadiliko tuyatakayo. Hivyo, wiki ile inayokuja tutatoa nafasi hii kwa wote tutakaoweza kuwapata. Tatu, kwa vile nina uhakika wapo wengi ambao hawajakubaliana na uamuzi wangu huu (ambao naamini ni sahihi) basi nitatoa nafasi pia kwa watu wengine kutoa hoja zao dhidi ya ninachosema (sikiliza onesha hili juu ya 'mashart kuzingatiwa'). Kwa barua pepe anuani yangu ipo chini na namna nyingine ya mawasiliano nitawajulisha siku chache zijazo.Nitajitahidi kuweka shows zote kwenye uzi huu huu kila siku, na video zitafuata chini toka ya zamani zaidi hadi mpya zaidi. Mwisho, ninaamini na nina uhakika kuwa kwa atakayeamua kunisikiliza kuanzia sasa hadi kuamkia Uchaguzi Mkuu hatoweza kumpigia Lowassa kura ya Urais. Ni kwa sababu hiyo wale ambao tayari wameshaamua kuwa haijalishi nini kitasemwa juu ya Lowassa nawaomba au kuwashauri wasisikilize mada hizi wasije kujikuta wanabadili mawazo. Mada hizi ni kwa wale tu ambao bado hawajaamua au wale ambao wameamua lakini bado wanajikuwa wanavuta na upepo wa 'nyomi' kiasi kwamba bado hawajathibitika katika msimamo wao. "Uamuzi Makini, Uamuzi wa Lazima, Uamuzi Sahihi"MMM
MMM unapiga kura mwaka huu??
Inaelekea watu hawalali wanaumiza kichwa kisa jina Lowasa...kama hawaletei homa why mnapanic.lalen usingizi muone cha moto nyie majambazi sugu
Hiki ni kituko. Hivi mtu ambaye hata hapigi kura eti anawaelekeza wapiga kura wasimchague kiongozi ambao wao wanaamini ndio anayewafaa