Yan wew rebeca unavyoongea kishabk wakt watu wanapga pesa kama huna uelewa wa kutosha kwanin usiombe uelekezwe forex sio sehem ya kupata hela chap chap unatakiwa upate elim ya kutosha na ni biashara kama zingne fungua akili yako ujifunze tatzo una mawazo mgando unaamin unachoamin ata kama si sahihi
Wanaofanya forex wanamagroup ya what's up na telegram sasa Rebecca utaingiaje humo ingali hujui market analysis ya dunia inavyokwenda!!!mmmmn.....wewe kama unapiga pesa ni wewe,kama mngekua wengi hii topic ingejaa na successful stories zenu,ila mnajua biashara yenyewe ni magumashi,................sijakuzuia kujiunga,ila ningependa kujua wangapi mliofundishwa nae mnapiga hizo pesa???nauliza tena ni watu wangapi wasio na kazi wamejiunga kufundishwa forex??? nilikua namaanisha kwa watu ambao hawana kazi umwambie hadith za sio sehemu za kupiga hela za chap chap atakuelewa kweli?yeye ataangalia situation yake hana kipato atataka kujaribu hii Kamari.......sasa hii ni exploitation....
Endelea kujifunzammmmn.....wewe kama unapiga pesa ni wewe,kama mngekua wengi hii topic ingejaa na successful stories zenu,ila mnajua biashara yenyewe ni magumashi,................sijakuzuia kujiunga,ila ningependa kujua wangapi mliofundishwa nae mnapiga hizo pesa???nauliza tena ni watu wangapi wasio na kazi wamejiunga kufundishwa forex??? nilikua namaanisha kwa watu ambao hawana kazi umwambie hadith za sio sehemu za kupiga hela za chap chap atakuelewa kweli?yeye ataangalia situation yake hana kipato atataka kujaribu hii Kamari.......sasa hii ni exploitation....
embu tuongee ukweli,
hivi hao mnaowapelekea training ya forex trading ni watu gani??
mie nahisi mna prey kwa watu wasio na kazi,
wengine hata basic computer skills hawana ,
mnawapelekea training ambayo they are bound to fail,
Ajira hakuna ndio lakini hio sio sababu ya nyie opportunists kuwatumia watu!
eti mnaenda mikoani,
jamanii kabisaaa???!!!
ungekua karibu ningekutukanaOntario anafaa apigwe BAN ya maisha japo nahisi ana account nyingine humu JF.
Tena sio akaunti mojaOntario anafaa apigwe BAN ya maisha japo nahisi ana account nyingine humu JF.
Haya tapeli wako kaumbuka njoo unitukane sasa, sijajiita darubin kwa bahati mbayaungekua karibu ningekutukana
Haya tapeli wako kaumbuka njoo unitukane sasa, sijajiita darubin kwa bahati mbaya