Opportunists hata kama ajira hakuna lakini mnawatumia watu vibaya

Yan wew rebeca unavyoongea kishabk wakt watu wanapga pesa kama huna uelewa wa kutosha kwanin usiombe uelekezwe forex sio sehem ya kupata hela chap chap unatakiwa upate elim ya kutosha na ni biashara kama zingne fungua akili yako ujifunze tatzo una mawazo mgando unaamin unachoamin ata kama si sahihi
 
mmmmn.....wewe kama unapiga pesa ni wewe,kama mngekua wengi hii topic ingejaa na successful stories zenu,ila mnajua biashara yenyewe ni magumashi,................sijakuzuia kujiunga,ila ningependa kujua wangapi mliofundishwa nae mnapiga hizo pesa???nauliza tena ni watu wangapi wasio na kazi wamejiunga kufundishwa forex??? nilikua namaanisha kwa watu ambao hawana kazi umwambie hadith za sio sehemu za kupiga hela za chap chap atakuelewa kweli?yeye ataangalia situation yake hana kipato atataka kujaribu hii Kamari.......sasa hii ni exploitation....
 
Wanaofanya forex wanamagroup ya what's up na telegram sasa Rebecca utaingiaje humo ingali hujui market analysis ya dunia inavyokwenda!!!

Huku ulipo wanakuja kuchungulia kama kuna fursa mpya waifanyie kazi.

**Nipo forex, bitcoin, bitclub**
1514604899290.jpg
1514605231712.jpg
Screenshot_20171230-064303.png
1514606331841.jpg

Unamiliki smart phone yakupiga selfie
Ahaaaàaa
 
Attachments

mmmmn.....wewe kama unapiga pesa ni wewe,kama mngekua wengi hii topic ingejaa na successful stories zenu,ila mnajua biashara yenyewe ni magumashi,................sijakuzuia kujiunga,ila ningependa kujua wangapi mliofundishwa nae mnapiga hizo pesa???nauliza tena ni watu wangapi wasio na kazi wamejiunga kufundishwa forex??? nilikua namaanisha kwa watu ambao hawana kazi umwambie hadith za sio sehemu za kupiga hela za chap chap atakuelewa kweli?yeye ataangalia situation yake hana kipato atataka kujaribu hii Kamari.......sasa hii ni exploitation....
Endelea kujifunza
Screenshot_20171229-193124.png
 
Attachments

embu tuongee ukweli,

hivi hao mnaowapelekea training ya forex trading ni watu gani??

mie nahisi mna prey kwa watu wasio na kazi,

wengine hata basic computer skills hawana ,

mnawapelekea training ambayo they are bound to fail,

Ajira hakuna ndio lakini hio sio sababu ya nyie opportunists kuwatumia watu!

eti mnaenda mikoani,

jamanii kabisaaa???!!!
bec0185262c54a126492fae7305735ef.jpg
 
Ontario anafaa apigwe BAN ya maisha japo nahisi ana account nyingine humu JF.
 
Back
Top Bottom