kipozi
JF-Expert Member
- Jan 23, 2015
- 1,315
- 1,702
Yan wew rebeca unavyoongea kishabk wakt watu wanapga pesa kama huna uelewa wa kutosha kwanin usiombe uelekezwe forex sio sehem ya kupata hela chap chap unatakiwa upate elim ya kutosha na ni biashara kama zingne fungua akili yako ujifunze tatzo una mawazo mgando unaamin unachoamin ata kama si sahihi