Opposing without giving solutions

Opposing without giving solutions

Sungi,
Mkuu wangu kidogo unakosea hapa.. Mambo mengi yaliyomo humu JF hayahusiani wala kutokana na NCHI yetu..Hakuna mtu anayetegemea tanzania imfikishe mahala ila sisi ndio tutaijenga Tanzania ya kesho!..

Kwa mfano maneno ya Kennedy kuhusiana na hotuba yake "Ask not what the Country can do for You' yana mapana zaidi ya policies. Na sidhani kama Mwanakijiji au mtu yeyote humu anauliza nchi yake itamfanyia kitu gani ila wanazungumzia empty promises za chama tawala. Hivyo Country na Policies za chama tawala ni vitu viwili tofauti kabisa.

Hotuba ya Kennedy ilikuwa kuhamasisha wananchi kwamba US ni nchi yenye Opportunity kibao na policies zake zilikuwa zikiwezesha sera na ahadi ambazo zilimpa kura (Kennedy) hivyo aliwataka wananchi kujiunga naye kuijenga nchi.. kwa maana nyingine wananchi wawe na imani na dira, policies na sera zake, kilichobakia ni nguvu zao wananchi wenyewe kuiendeleza nchi na masiha yao wenyewe.

Hivyo mkuu wangu tusichukulie hotuba kama hizi juu juu tu kwani huwezi kuitendea haki nchi yako ikiwa policies zake zinawafunga wananchi. Maneno kama ya Kennedy hata Mugabe au Kim wa North Korea anaweza kuyatumia kwa kutazama malengo yavyama vyao na ikaleta maana, lakini ukweli unabakia kuwa policies zilizopo nchi hizo haziwezi kabisa kutimiza malengo yanayokusudiwa vichwani mwa wananchi...ndipo majukwaa kama haya huingia kati kuchambua makosa ya Policies na sio mazingira ya nchi waliyomo.
Sijui kama umenipata!

You have a point ... maswala haya ni mapana kiasi, pengine majibu ya sentensi kadhaa haitoshi kuelezea. This is a good debate!
 
Sungi errs in a fundamental way. It is acceptable to oppose without giving solutions. I oppose ethnic cleansing. Do I have to give a solution to that problem first? I oppose using public funds on party activities (as is done by CCM). What solution must one provide before earning the right to do so? I abhor big cabinets (they cost the earth!). What solution could I provide before stating this abhorrence? Form a small cabinet or what?

Sometimes the best solution to a set of problems is to uproot their source. In this case, CCM is the source of that which ills us. It has infested and polluted all sectors of the life of our nation. If we do not heal ourselves of it, it will surely kill us.

At another level, we really are giving the solution to our problems. It is: get rid of CCM.
 
Sio CCM bali baadhi ya wanachama wake ambao hawana "love for country" ila "self", ambao wanatakiwa kufukuzwa chamani!

Huu umekuwa wimbo sasa. Kama CCM inajua ina wanachama waovu lakini inaendelea kuwakumbatia basi tatizo ni CCM! Umekalia kinyesi kwa muda mrefu unanuka unasema tatizo sio wewe ni kinyesi kilichojishika kwenye makalio yako???

CCM ndio ya kulaumiwa. CCM ndio iliyowanyima wananchi elimu ya uraia. Tumetoka kwenye mfumo wa chama kimoja kwenda vyama vingi bila kuwaelimisha wananchi tunafanya nini. Hii imefanywa kwa makusuidi kabisa kwa sababu inawapa advantage ambao wako madarakani. Mwananchi wa kawaida vijijini anaelewa kwamba uongozi ni dili. Kila baada ya miaka mitano na mimi napata dili langu la kuchagua yule atakayenihonga vizuri ili na yeye awe kiongozi akale dili lake. Hawaelewi kama kuna uhusiano kati ya kura anayoipiga, mtu anayemchagua na maendeleo yake.

Tunapochagua viongozi wa namna hii kwa mtindo huu hata utoe proposal nzuri kiasi gani haisaidii. Tuwe na demokrasia na utawala bora kwanza, tupate viongozi tunaowataka, na tuweze kuwaondoa pale wasipotenda yale walioahidi watatenda. Hili litafanikiwa kama kila mmoja wetu atawajibika. Sio jukumu la vyama vya siasa au NGO Ni jukumu la kila Mtanzania mwenye uelewa. CCM inatumia idara zote serikalini kuhakikisha inabaki madarakani. Ina jeshi kubwa sana na resources zisizo na mwisho. Kuiondoa madarakani kunahitajika wachezaji wengi zaidi uwanjani.
 
I get so frustrated when individuals tend to oppose policies without giving alternatives to a proposed policy. Opposing without giving alternatives is a syndrome in Tanzania politics as in many other states. Just saying NO without stating what should be done in the absence of what is tabled is a sign of political immaturity.

That is a big problem to a whole many of us Tanzanians!

Tuliopitia Form Five and Six nakumbuka tulikuwa tunafundishwa kwamba ukipewa swali/statement kwanza kabisa just go ahead and list all the possible answers/alternatives on the first paragraph. The next paragraphs ongelea pointi moja moja zilizo paragraph ya kwanza. Paragraph ya mwisho unasummerize yote uliyoyaandika kabla na kumaliza kufunga swali/statement uliyoulizwa.

Tuliopitia Business Schools pia kuna mrolongo kama huu pia: Identify the problem; Identify what are the critical factors; Criteria/Considerations to solve the problem; list suitable Alternatives, good and bad; Discussion of the alternatives; Decision; Implementation, include at least 2 conditions and 1 recommendation.

Granted that not everyone has gone to Form Six and Business School, it saddens me when some prominent and distinguished personalities fall into this trap. This kinda brings me to the point of about them "distinguished personalities" with fake and bogus online degrees coming up with cantankerous answers/decisions/solutions - they did not go to Business Schools that would have taught them this way of thinking.

My two cents..................
 
I like such kind of debates, especially when they are so personally addressed. The broader point I was attempting to make in my reasoned comment is the hypocrisy that we see from people just because they are not in policy decision making positions. Let me cite some few examples to illustrate my point. Many in this forum have raised issues on the Speaker's performance in Parliament, most criticizing the way he is running parliament vis-a-vis ousting out MPs who are allegedly corrupt or who are involved in white collar crimes. What would you have done as Speaker "Mag 3" who does not dares use his real name? The use of your alias speaks so much of your character and demeanor. CCM will continue forming a government in my beloved country because the opposing parties are not providing solutions to the problems that ordinary Tanzanians are facing everyday. At least CCM has provided solutions since its formation in 1977. If we want to bring real changes to our economy and the standard of living of mwanakijiji in my village we ought to be proposing solutions and not just saying NO and coming up with reports that are neither fully. researched nor substantiated with facts on the ground just for the sake of showing "kaopposition".
serikali iliopo madarakani inatekeleza muongozo wa CCM. wajumbe humu ndani wanao oppose CCM/serikali wote wanapropose CCM iondolewe madarakani ili chama kingine waweke sera zao. Kumbuka vyama vyote vilivyosajiliwa vina sera. It is simple and clear, where then are you blinded? Solution ni kutoa sera, serikali uliyounda itekeleza.Sasa una serikali utatoaje proposal? kumbuka proposal yako is what makes you different from the other.
 
In the developed countries like America and the United Kingdom, behind every politician, there is a team of eager, well-educated, dedicated staffers who listen to constituents, research important issues, and work together to craft responsive, effective policy. But can we say the same for our democracy and our politicians?
 
Back
Top Bottom