Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,009
- 2,934
OR - TAMISEMI kwa heshima kubwa nawashauri mumuondoe mara moja Mke wa Spika Y. Ndugai kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya BAHI, MKOA WA DODOMA. Mama huyu, Dr. Fatuma Ramadhan Mganga anatumia uhusiano wake wa kifamilia na Job Ndugai kukwaza utendaji kazi wa Serikali. Mama huyu kwa sababu ya kuwa Mke wa Spika, anaharibu taswira nzima ya uwajibikaji kuanzia kwa mabosi wake kwa maana ya RC, RAS na hata DC.
Mwenendo wa Job Ndugai katika masuala ya TAMISEMI unategemea huyu mama anasema nini. Mama huyu amemshika kwelikweli Job kiasi cha kwamba JOB yupo tayari kuharibu kazi ya mtu ili kumtetea mkewe ambaye utendaji wake BAHI ni wa hovyo hovyo.
La mwisho nizitake mamlaka za Serikali kuhakikisha zinaondoa mgongano wa kimaslahi kwa viongozi wa juu wa Nchi na wana familia zao. Ni sharti muhimu na adhimu kabisa kwa viongozi wa mihimili ya Dola wenza wao wasipewe majkumu ambayo kwa namna moja au nyingine wakati wa kuchukua uamuzi kutakuwa na maslahi.
Msimuamini JOB hata kidogo, huyu anaongozwa na maslahi ya muda.