OR - TAMISEMI muondoeeni Dr. Fatuma Ramadhan Mganga Mke wa Spika Ndugai kuwa DED - BAHI DC

Nafikiri hapo la mhimu ni kiangalia mgongano wa maslahi,Mbuge wa bahi ana kazi kibwa sana,sababu kuna mambo hawezi kuruhusu yahojiwe na wabunge
 
Mbona jina kama ni wa imani fulani
Lakini ukiamua kula nguruwe unachagua aliyenona. Ukishaasi na kuacha imani yako huna haja ya kufuata masharti tena. Unakiuka kila kitu. Sasa shangaa mtu anahubiri kwa kutumia Imani aliyoiasi?
 
Kwamba alipata hiyo nafasi kwa kutokuwa na vigezo? Kama hakuwa na vigezo aondolewe tu anaziba rizki za watu ila kama anafit abaki na afanye kazi kwa miongozo ya kazi yake. Ila kwakweli kwa upande fulani hata kama maji yanafuata mkondo ila na wengine wenye sifa wapewe hizo nafasi.
 
Ndugai hatufai watanzania awajibishwe.
 
Hivi unabii wa Lemma kwa huyu kiumbe mbona unachelewa?
 

 
Mhh nadhani ktk serikali hii hakuna kiongozi anayechukiwa Kama job. Kwanin hivyo?
 
Hii itakuwa ni mara ya pili. Kati ya
mwaka 2007 na 2010, mke wa Ndugai ambaye ni Daktari kitaaluma alikuwa DMO - KONGWA. Hapo Kongwa Ndugai anamikiliki Petrol Station by then.

Idara ya Afya ndiyo Ina magari mengi katika Wilaya. Huyo DMO alikuwa anaamrisha magari yote wilayani yakajaze mafuta kwenye kituo ambacho ana masilahi nacho. Infact kulikuwa hata na mafuta hewa.

Wakati huo Ndugai alikuwa Naibu Spika. Walimstahi akahamishiwa Dar es Salaam kwenye kitengo cha maboresho ya motisha kwa watumishi wa afya (Result Based Finance).

Anyway huyo DED amekubuhu kwenye FORGERY
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…