Oral interview kada ya afya: tupeni feedback

Watu wa Afya wamekaa kimya baada ya usaili. Huu uzi utachangamka baada ya kupangiwa vituo vya kazi. Watatupia hadi maswali waliyoulizwa.
 
Kila swali DK 15 au maswali yote kwa muda huo
 
WalipAgaishwa na your sex body
 
Ytoday Njoo malizia
 
Wenzako wakati wanatafuta GPA kali, wewe ulikuwa unafanya nini?
Atakuwa alikuwa anacheza pool table. Hata hivyo PSRS hawaangalii GPA, kuna kazi za kuzingatia GPA kama Tutor Assistant (TA), hizo huwa wanaainisha wakati wa tangazo la ajira.

Ufaulu wako kwenye usaili ndio tiketi yako ya kuitwa kazini. Kama ulaya vile
 
Wakuu wa Afya Kwanza nitoe pongezi kwa wote waliopata nafasi na Wengine wanaoendelea kusubiria naomba Mungu awape uvumilivu.

Tunaomba muendelee kutupa feedback Sisi walimu na TA tuzidi jifua
 
Kama siku ya oral mpo wengi sana, na ni dk 15 per person. Si kuna wengine mwishoni apo hawataulizwa maswali yote km muda umeisha?
 
Course Gani mbona maswali ya kiwaki hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…