Oral interview kada ya afya: tupeni feedback

Watu wa Afya wamekaa kimya baada ya usaili. Huu uzi utachangamka baada ya kupangiwa vituo vya kazi. Watatupia hadi maswali waliyoulizwa.
 
Kwa upande wangu mambo haya kua mabaya sana sehemu niliyo fanyia hakukua na usumbufu sana sana wanakagua vyeti mala mbili wakati hujaingia kwenye chumba cha oral na wakati unaingia kwenye chumba cha oral wanakagua tena panel niliyo pita mimi wasimamizi walikua 7 na maswali yalikua saba unapewa dakika 15 swali la Kwanza ni explain about your self, education background na professionalism afu maswali mengine ilikua ni mention point 5 baada ya hapo wanakushukuru then unaambiwa majibu yatatoka kwenye account yako ni hayo tu.

Kitu cha ziada nilicho pata ni kua kama unafanya usahili mkoa X afu huo mkoa walikua wanahitaji watu10 afu watu wakaenda kufanya usahili wa 5 sio kwamba mtapewa kipaumbele no bali wataangalia marks zenu Na wafanya interview wa sehemu zingine hivyo utapangiwa sehem yeyote ya kazi si lazima ulipo omba akafanye kazi

Nb.Saa usijisumbue kubeba simu pia wanazihiFadhi utapewa ukimaliza intewiew.
Ila hao watu wa sekretarieti watu wako very friendly wa na roho za utu na utulivu
Kila swali DK 15 au maswali yote kwa muda huo
 
WalipAgaishwa na your sex body
 
Wenzako wakati wanatafuta GPA kali, wewe ulikuwa unafanya nini?
Atakuwa alikuwa anacheza pool table. Hata hivyo PSRS hawaangalii GPA, kuna kazi za kuzingatia GPA kama Tutor Assistant (TA), hizo huwa wanaainisha wakati wa tangazo la ajira.

Ufaulu wako kwenye usaili ndio tiketi yako ya kuitwa kazini. Kama ulaya vile
 
Wakuu wa Afya Kwanza nitoe pongezi kwa wote waliopata nafasi na Wengine wanaoendelea kusubiria naomba Mungu awape uvumilivu.

Tunaomba muendelee kutupa feedback Sisi walimu na TA tuzidi jifua
 
Kama siku ya oral mpo wengi sana, na ni dk 15 per person. Si kuna wengine mwishoni apo hawataulizwa maswali yote km muda umeisha?
 
Interview yangu ni diploma ilikua na maswal 7 oral
1 introduce yourself
2 factors contributing to (kada yako)5
3 challenges facing (kada yako)5
4 determinants of health 5
5 components of risk assessment (4)
6 steps of risk infection (5)
7 .......................limenitoka
Course Gani mbona maswali ya kiwaki hivi?
 
Back
Top Bottom