Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuu naimani yakitoka watatupa feedback vizuri.Watu wa Afya wamekaa kimya baada ya usaili. Huu uzi utachangamka baada ya kupangiwa vituo vya kazi. Watatupia hadi maswali waliyoulizwa.
😃😃😃 na waelezea na jinsi walivyojibu maswali.Watu wa Afya wamekaa kimya baada ya usaili. Huu uzi utachangamka baada ya kupangiwa vituo vya kazi. Watatupia hadi maswali waliyoulizwa.
Kila swali DK 15 au maswali yote kwa muda huoKwa upande wangu mambo haya kua mabaya sana sehemu niliyo fanyia hakukua na usumbufu sana sana wanakagua vyeti mala mbili wakati hujaingia kwenye chumba cha oral na wakati unaingia kwenye chumba cha oral wanakagua tena panel niliyo pita mimi wasimamizi walikua 7 na maswali yalikua saba unapewa dakika 15 swali la Kwanza ni explain about your self, education background na professionalism afu maswali mengine ilikua ni mention point 5 baada ya hapo wanakushukuru then unaambiwa majibu yatatoka kwenye account yako ni hayo tu.
Kitu cha ziada nilicho pata ni kua kama unafanya usahili mkoa X afu huo mkoa walikua wanahitaji watu10 afu watu wakaenda kufanya usahili wa 5 sio kwamba mtapewa kipaumbele no bali wataangalia marks zenu Na wafanya interview wa sehemu zingine hivyo utapangiwa sehem yeyote ya kazi si lazima ulipo omba akafanye kazi
Nb.Saa usijisumbue kubeba simu pia wanazihiFadhi utapewa ukimaliza intewiew.
Ila hao watu wa sekretarieti watu wako very friendly wa na roho za utu na utulivu
Kila la kheri zao
Maswali yoteKila swali DK 15 au maswali yote kwa muda huo
Kama maswali 5 Kila swali DK 3 tuuMaswali yote
WalipAgaishwa na your sex bodyKwa upande wangu mambo haya kua mabaya sana sehemu niliyo fanyia hakukua na usumbufu sana sana wanakagua vyeti mala mbili wakati hujaingia kwenye chumba cha oral na wakati unaingia kwenye chumba cha oral wanakagua tena panel niliyo pita mimi wasimamizi walikua 7 na maswali yalikua saba unapewa dakika 15 swali la Kwanza ni explain about your self, education background na professionalism afu maswali mengine ilikua ni mention point 5 baada ya hapo wanakushukuru then unaambiwa majibu yatatoka kwenye account yako ni hayo tu.
Kitu cha ziada nilicho pata ni kua kama unafanya usahili mkoa X afu huo mkoa walikua wanahitaji watu10 afu watu wakaenda kufanya usahili wa 5 sio kwamba mtapewa kipaumbele no bali wataangalia marks zenu Na wafanya interview wa sehemu zingine hivyo utapangiwa sehem yeyote ya kazi si lazima ulipo omba akafanye kazi
Nb.Saa usijisumbue kubeba simu pia wanazihiFadhi utapewa ukimaliza intewiew.
Ila hao watu wa sekretarieti watu wako very friendly wa na roho za utu na utulivu
Ytoday Njoo maliziaInterview yangu ni diploma ilikua na maswal 7 oral
1 introduce yourself
2 factors contributing to (kada yako)5
3 challenges facing (kada yako)5
4 determinants of health 5
5 components of risk assessment (4)
6 steps of risk infection (5)
7 .......................limenitoka
GPA ya kazi gani ,we faulu tu interview zote mbili ,NAuliza, huwa wanazingatia GPA kwenye kuwapa watu kazi. Maana kuna wenye 2..8 huku
Utakuwa na GPA ndogoAsante kwa jibu, nilikua nahofia nikawaza labda kuna kada nyingine wana angaliaga GPA
Wenzako wakati wanatafuta GPA kali, wewe ulikuwa unafanya nini?Ndio
Atakuwa alikuwa anacheza pool table. Hata hivyo PSRS hawaangalii GPA, kuna kazi za kuzingatia GPA kama Tutor Assistant (TA), hizo huwa wanaainisha wakati wa tangazo la ajira.Wenzako wakati wanatafuta GPA kali, wewe ulikuwa unafanya nini?
Course Gani mbona maswali ya kiwaki hivi?Interview yangu ni diploma ilikua na maswal 7 oral
1 introduce yourself
2 factors contributing to (kada yako)5
3 challenges facing (kada yako)5
4 determinants of health 5
5 components of risk assessment (4)
6 steps of risk infection (5)
7 .......................limenitoka