Oral nterview ya Uhasibu Sekretarieti ya Ajira

Oral nterview ya Uhasibu Sekretarieti ya Ajira

ballack jr

Member
Joined
Jan 5, 2016
Posts
16
Reaction score
9
Wakuu habari

Naomba muongozo kwa mwenye uzoefu na Oral interview nafasi ya Mhasibu Utumishi anipe uzoefu na namna ya kujiandaa natanguliza shukurani kwenu
 
Wakuu habari

Naomba muongozo kwa mwenye uzoefu na Oral interview nafasi ya Mhasibu Utumishi anipe uzoefu na namna ya kujiandaa natanguliza shukurani kwenu
Rule #1 Jiamini mengine utayamaliza hapo hapo ila hakikisha unajiamini ukipoteza kujiamini tu kwakheri na asante kwa kushiriki
 
Sawa Mkuu
Swali la pili ni technicall skills
Swali la tatu ni problem-solving skills
Swali la nne ni attention to details
Swali la tano ni collaboration how you collaborate with other people in workplace

Kwa hio unapojibu swali la introduce yourself make sure unapasua mpaka hizo za chini za maswali yanayofuata, umemaliza mchezo
 
Shukrani mkuu@stow away kwa nondo hizi
 
Back
Top Bottom