Oral nterview ya Uhasibu Sekretarieti ya Ajira

Oral nterview ya Uhasibu Sekretarieti ya Ajira

Nashukuru nimepata madini na mini...Tutakuwa wote kwenye hiyo interview....

Mungu atusaidie tupite maisha ya kitaa sio kabisa kwa kweli.
 
Wakuu. Natumaini mambo yataenda vizuri kwa wote mliofanya usaili tareh 22 July 2025. Naombeni mnijulishe maswali mliokutana nayo siku ya usaili. Nami nijipange siku si nyingi nitakuwa mzigoni.
 
Back
Top Bottom