ballack jr
Member
- Jan 5, 2016
- 16
- 9
Matano wewe umeweka matatuMaswali ni matano
1.introduce your self
2.challenge
3.duties
Nk kutokana na ujuzi vaa vizuri jiamini ongea ukiwa una mface
Good luck 🤞
Rule #1 Jiamini mengine utayamaliza hapo hapo ila hakikisha unajiamini ukipoteza kujiamini tu kwakheri na asante kwa kushirikiWakuu habari
Naomba muongozo kwa mwenye uzoefu na Oral interview nafasi ya Mhasibu Utumishi anipe uzoefu na namna ya kujiandaa natanguliza shukurani kwenu
Nakushukuru sna Mkuu@Champion number oneMaswali ni matano
1.introduce your self
2.challenge
3.duties
Nk kutokana na ujuzi vaa vizuri jiamini ongea ukiwa una mface
Good luck 🤞
Nakushukuru Mkuu nitampanaRule #1 Jiamini mengine utayamaliza hapo hapo ila hakikisha unajiamini ukipoteza kujiamini tu kwakheri na asante kwa kushiriki
Utampana na nani?Nakushukuru Mkuu nitampana
Typing error namaanisha nitapambanaUtampana na nani?
Wewe jiaminiTyping error namaanisha nitapambana
Sawa MkuuWewe jiamini
Introduce yourself pasua hapo kila kitu hata wakose swali la kukuuliza
Swali la pili ni technicall skillsSawa Mkuu
Shukrani mkuu@stow away kwa nondo hiziSwali la pili ni technicall skills
Swali la tatu ni problem-solving skills
Swali la nne ni attention to details
Swali la tano ni collaboration how you collaborate with other people in workplace
Kwa hio unapojibu swali la introduce yourself make sure unapasua mpaka hizo za chini za maswali yanayofuata, umemaliza mchezo
Nashukuru mkuu@Saveya niongeze madini mengineHow ipsas differ from gaap
Wewe usaili wa mahojiano unafanya lini?Nashukuru mkuu@Saveya niongeze madini mengine
Tarehe 22 July MkuuWewe usaili wa mahojiano unafanya lini?
Basi simamia humo nilimukueleza bado siku 6 muda unao wa kutoshaTarehe 22 July Mkuu
nashukuruBasi simamia humo nilimukueleza bado siku 6 muda unao wa kutosha