Alpaslan Member Joined Oct 27, 2024 Posts 33 Reaction score 41 Jul 20, 2025 #21 Nashukuru nimepata madini na mini...Tutakuwa wote kwenye hiyo interview.... Mungu atusaidie tupite maisha ya kitaa sio kabisa kwa kweli.
Nashukuru nimepata madini na mini...Tutakuwa wote kwenye hiyo interview.... Mungu atusaidie tupite maisha ya kitaa sio kabisa kwa kweli.
B ballack jr Member Joined Jan 5, 2016 Posts 16 Reaction score 9 Jul 20, 2025 Thread starter #22 Alpaslan said: Nashukuru nimepata madini na mini...Tutakuwa wote kwenye hiyo interview.... Mungu atusaidie tupite maisha ya kitaa sio kabisa kwa kweli. Click to expand... Mungu ni mwema sna Mkuu tutavuka
Alpaslan said: Nashukuru nimepata madini na mini...Tutakuwa wote kwenye hiyo interview.... Mungu atusaidie tupite maisha ya kitaa sio kabisa kwa kweli. Click to expand... Mungu ni mwema sna Mkuu tutavuka
G Gmarra JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 516 Reaction score 506 Jul 24, 2025 #23 Wakuu. Natumaini mambo yataenda vizuri kwa wote mliofanya usaili tareh 22 July 2025. Naombeni mnijulishe maswali mliokutana nayo siku ya usaili. Nami nijipange siku si nyingi nitakuwa mzigoni.
Wakuu. Natumaini mambo yataenda vizuri kwa wote mliofanya usaili tareh 22 July 2025. Naombeni mnijulishe maswali mliokutana nayo siku ya usaili. Nami nijipange siku si nyingi nitakuwa mzigoni.