Orange zest chicken

Orange zest chicken

Asantee kwa kunishirikisha
Nitajaribu kwakweli
 
Kuku 1

Tangawizi

Kitunguu thomu 1 teaspoon

Orange juice 2 glasses waweza kamua fresh orange au orange juice ambayo 100% alafu no sugar added

Chumvi kiasi


Chungwa moja kwa ajili ya kunapara ile skin yake...


Namna ya kutaarisha

Katakata vipande kuku

Weka kitunguu saumu na chumvi kiasi bake hadi awive....

Katika sufuria chemsha orange juice hadi iwe nzito nzito ukiona inachelewa add sugar 1 tablespoon


Wacha kuku na orange juice vipoe

Chukua kuku kipande kimoja kimoja ingiza kwenye orange juice

Para tangawizi na ganda la chungwa juu yake

Weka kwenye oven kidogo ikaukie

Weka kuku kwenye sahani tayar kwa kuliwa...



Mashallah,


Nitajaribu,penda kujua mapishi mimi,
 
yaani farkhina unanikosha sn, it seems delicious nitaijaribu hii, thanx dear
 
Last edited by a moderator:
mate yamenidondoka mieeee.........................
 
Back
Top Bottom