Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natarajia kwenda pale karume institute of science and technology (kist),Unasoma chuo gani kijana?
Lab Science ni nzuri, sehemu za ajira /intern/ field zipo nyingi kuanzia serikalini na taasisi zake, private sectors nk.
Kujiajiri ni changamoto ukiwa fresh from college, lakini unaweza ukawa consultant katika baadhi ya makampuni binafsi yanayohusika na mahabara.
Ukimaliza chuo (diploma) possibility ya kuendelea degree course nyingi unafit.
Tafuta vyuo vizuri vingenevyo utasoma diploma kwa miaka 5Natarajia kwenda pale karume institute of science and technology (kist),
Na course zipi Degree inafiti hapo
Kwa sasa usiwaze sana kuhusu ajira wala degree. Ebu kakomae utoke na matokeo mazuri.Natarajia kwenda pale karume institute of science and technology (kist),
Na course zipi Degree inafiti hapo
Vyuo vya private utakuta kina wanafunzi 200 mtihani wa kila mwisho wa mwaka wanafualu 40 wengine wanaambiwa watarudia pepa hakuna kuwafukuza matokeo yake unasoma miaka 5 badala ya mitatu. angalia vyuo kama UDOM au ST JOHN lakini kama unaenda kwenye vicollege vya watu binafsi umeisha labda uwe vizuri kichwani.Samahani kwani kile chuo cha karume hakipo vzuri
Tafuta vyuo vizuri vingenevyo utasoma diploma kwa miaka 5
Samahani kwani kile chuTafuta vyuo vizuri vingenevyo utasoma diploma kwa miaka 5
Kwa sasa usiwaze sana kuhusu ajira wala degree. Ebu kakomae utoke na matokeo mazuri.
Usikatishwe tamaa na mtu, kila course ina ajira na kila mtu ameandikiwa something, wanaweza ita watu 100 kwenye interview wanamtaka mmoja ukawa wewe.
Karume(kist) ni government institute cio chuo cha privateVyuo vya private utakuta kina wanafunzi 200 mtihani wa kila mwisho wa mwaka wanafualu 40 wengine wanaambiwa watarudia pepa hakuna kuwafukuza matokeo yake unasoma miaka 5 badala ya mitatu. angalia vyuo kama UDOM au ST JOHN lakini kama unaenda kwenye vicollege vya watu binafsi umeisha labda uwe vizuri kichwani.
Kama serikali fresh ila vya private ni uongo vinakuwa na wanafunzi wengi sanaSamahani kwani kile chu
karume hakipo vzuri
Karume(kist) ni government institute cio chuo cha private
Na vipi Kozi hyo hapo juu ukilinganisha na nursing kwa upande wa vyuo vya privateVyuo vya private utakuta kina wanafunzi 200 mtihani wa kila mwisho wa mwaka wanafualu 40 wengine wanaambiwa watarudia pepa hakuna kuwafukuza matokeo yake unasoma miaka 5 badala ya mitatu. angalia vyuo kama UDOM au ST JOHN lakini kama unaenda kwenye vicollege vya watu binafsi umeisha labda uwe vizuri kichwani.
Tafuta vyuo vizuri vingenevyo utasoma diploma kwa miaka 5
Achana na nursing. Soma iyo iyo.Sawa shukrani, na vipi kozi hyo hapo juu ukilinganisha na nursing kwa upande wa vyuo vya private