Ordinary Diploma in Laboratory Science and Technology

Unasoma chuo gani kijana?

Lab Science ni nzuri, sehemu za ajira /intern/ field zipo nyingi kuanzia serikalini na taasisi zake, private sectors nk.

Kujiajiri ni changamoto ukiwa fresh from college, lakini unaweza ukawa consultant katika baadhi ya makampuni binafsi yanayohusika na mahabara.

Ukimaliza chuo (diploma) possibility ya kuendelea degree course nyingi unafit.
 
Natarajia kwenda pale karume institute of science and technology (kist),
Na course zipi Degree inafiti hapo
 
Kwa sasa usiwaze sana kuhusu ajira wala degree. Ebu kakomae utoke na matokeo mazuri.

Usikatishwe tamaa na mtu, kila course ina ajira na kila mtu ameandikiwa something, wanaweza ita watu 100 kwenye interview wanamtaka mmoja ukawa wewe.
 
Samahani kwani kile chuo cha karume hakipo vzuri
Vyuo vya private utakuta kina wanafunzi 200 mtihani wa kila mwisho wa mwaka wanafualu 40 wengine wanaambiwa watarudia pepa hakuna kuwafukuza matokeo yake unasoma miaka 5 badala ya mitatu. angalia vyuo kama UDOM au ST JOHN lakini kama unaenda kwenye vicollege vya watu binafsi umeisha labda uwe vizuri kichwani.
 
Tafuta vyuo vizuri vingenevyo utasoma diploma kwa miaka 5

Samahani kwani kile chu
Kwa sasa usiwaze sana kuhusu ajira wala degree. Ebu kakomae utoke na matokeo mazuri.

Usikatishwe tamaa na mtu, kila course ina ajira na kila mtu ameandikiwa something, wanaweza ita watu 100 kwenye interview wanamtaka mmoja ukawa wewe.

karume hakipo vzuri
Vyuo vya private utakuta kina wanafunzi 200 mtihani wa kila mwisho wa mwaka wanafualu 40 wengine wanaambiwa watarudia pepa hakuna kuwafukuza matokeo yake unasoma miaka 5 badala ya mitatu. angalia vyuo kama UDOM au ST JOHN lakini kama unaenda kwenye vicollege vya watu binafsi umeisha labda uwe vizuri kichwani.
Karume(kist) ni government institute cio chuo cha private
 
Vyuo vya private utakuta kina wanafunzi 200 mtihani wa kila mwisho wa mwaka wanafualu 40 wengine wanaambiwa watarudia pepa hakuna kuwafukuza matokeo yake unasoma miaka 5 badala ya mitatu. angalia vyuo kama UDOM au ST JOHN lakini kama unaenda kwenye vicollege vya watu binafsi umeisha labda uwe vizuri kichwani.
Na vipi Kozi hyo hapo juu ukilinganisha na nursing kwa upande wa vyuo vya private
Tafuta vyuo vizuri vingenevyo utasoma diploma kwa miaka 5
 
Laboratory ni kozi nzuri but interm of ajira ni kipengele sana hasa kwenye primary health FACILITIES mfn dispensaries ambazo wanatumia rapid tests vipimo ambavyo nurse na Co anaweza kuvifanya.....soma ukiondoa lengo la kuajiriwa cos idadi wa wataalam wa maabara wanaoajiriwa ni ndogo kulinganisha na Co au nurse hata kujiajiri ni ngumu inahitaji mtaji mrefu kozi ambazo at least hukosi ajira n physiotherapy nursing Tena certificate dental therapist udaktar wa macho CO sijui pharmacy sijui CHW utailaumu serikali bure
 
Nikwelii lakini nadhani hujaelewa title hapo juu, nimezungumzia laboratory science na sio medical laboratory
 
Back
Top Bottom