Oreshnik: Silaha mpya tishio iliyotumiwa na Urusi. Hakuna mfumo unaweza kuzuia duniani, isipokuwa S550 wa Urusi wenyewe

kwa hiyo Nchi zote duniani makombora yao yanazuiliwa na mitambo ya akina putin ila putin ana makombora ambayo hayazyiliki. Basi yangetumika pale Kursk kuna vijana wakorofi pale wana karibia miezi mitatu sasa, kwenye ardgi ya supa pawa.
 
Ila kuna kitu kinafichwa na warusi shambulio halikuwa na impact yoyote

View: https://x.com/clashreport/status/1859545932452274428?t=8KHnEeFdzUNuysMGDFePsg&s=19
 
Narudia tena kwa niaba ya wengine kama mimi, Marekani SIO wa kuchezewa na mtu au nchi yoyote DUNIANI. Liwekeni hilo kichwani!
 
Mbona Ukraine wamepoa hawajaendelea tena kutumia silaha zao za masafa marefu baada ya jaribio hilo moja tu?
Ukraine hawajapoa. Wapo fit na kinachosubiriwa ni Green light ya wakubwa ili nao waanze kutumia Aegis na Modernized Patriots ambazo zina uwezo wa kukabiliana na IBM na Mrusi anajua hilo ndo mana akaweka Nukes zake katika Alert Mode. /Stand by Mode. Huko hii vita inakoelekea sio kwema.
BTW mm sio mwelewa wa hayo madude yao yenye lengo la kuangamiza wanadamu.
 
Narudia tena kwa niaba ya wengine kama mimi, Marekani SIO wa kuchezewa na mtu au nchi yoyote DUNIANI. Liwekeni hilo kichwani!
Ni kweli. Jamaa NATO et al wanamchora Mrusi. Mrusi kwa upande wake anafahamu fika kwamba USA na NATO wanao uwezo wa kuyadhibiti makombora hayo ya IBM lakini hawajatoa "go ahead" kwa Ukraine kamailivyokuwa kwa makombora ya Long Range. Kwa kulijua hilo, Mrusi anatishia kwamba next baada ya hapo i.e. endapo USA na Wenzake wataruhusu matumizi ya mitambo yenye uwezo dhidi ya makombora hayo e.g. Aegis na Modernised Patriots hana tena ujanja zaidi ya hapo ila itakuwa ni kutumia Nyuklia. Ndo mana amebadili sheria na kuidhinisha matumizi ya silaha za nyuklia endapo ikibidi.
 
Na hata akitaka kutumia nyuklia, iwapo Marekani na NATO nao wakisema watatumia Nyuklia, basi hapo aidha Putin aondoke mwenyewe madarakani au aondolewe na Warusi wenyewe maana muziki wanauelewa!
 
Kilomita tatu kwa second moja. Wewe unaamini hilo kiuhalisia inawezakana?
Yaan bado natafakari hapa hiyo spidi sipati picha
Lakini inawezekana kweli, maana kama hakuna ADS za kuyatungua sababu ni hiyo spidi ya ajabu
 
Na hata akitaka kutumia nyuklia, iwapo Marekani na NATO nao wakisema watatumia Nyuklia, basi hapo aidha Putin aondoke mwenyewe madarakani au aondolewe na Warusi wenyewe maana muziki wanauelewa!
Ni kweli. Ukrainian Armed Forces wametoa jibu 22/11/2024 kwa kukipiga kituo kilichohusika na Kurusha kombora hilo "Oreshnik" tar. 21/11/2024 (Kapustin Training Area)kwa kutumia Drones na wamesema kombora hilo la majaribio limetumia dak 15 kufika mji wa Dnipro tangu lirushwe. Russia yenyewe imekiri matumizi hayo na ndo iko kwenye hatua za kuweza kuzalisha makombora aina hiyo kwa wingi. Manake ni kwamba kama jamaa ( USA na NATO) wakiamua "sasa hivi - leo" kusimamia kucha dhidi ya Urussi; Mrusi itabidi akubaliane na matokea kwani hana hayo makomora kwa wingi kiasi cha kuweza kutunisha misuli dhidi ya USA na Wenzake. Putin atakamatwa kama kuku kwenye tenga.
 
Hii niliisema zamani kwenye FB na sio bye bye tu na itavunjika vipande vipande zile state 54 zitataka kila moja iwe nchi kamili na serikali zake usa itakuwa nyumba ya buibui 9Bayti ankabut)
Hem leta hapa hayo madini tuyaone au fb unatumia Jina gani
 
Kwahio zile carrier zinazamishika
 
Russia ilishapitwa na sera. What started as a military operations and world thought it'll end in few days it has been a long unending war. Russia is full of propaganda
Na vita haitamaliza mpaka unipolar ipotee
 
Endelea kujidanganya kama German wanaweza kuishinda Russia waende wakaichukue kaliningrad ni mali yao halali Ile
 
Wee jamaa unazingua ujue heheheee
 
Baba mwenye nyumba lazima apewe taarifa kabla hujaita fundi kuzibua masinki ya vyoo. Labda aliweka mambo yake huko sasa ukiyakorofisha unaweza kupewa notisi ya kuhama
 
Sio kwa Urusi,unless kama hujui historia ya urusi ,mmekaririshwa sana kuhusu Marekani na washirika wake,
Mbona Putin Kila siku anawanyenyekea Marekani?
Hujasikia Jana anajibebisha Kwa Trump awapatanishe?
 
Maarifa ya kuuwa majirani zako na askari wako kwa miaka takriban 3?. Kama kweli anayo maarifa mengi ayatumie kumaliza vita hiyo.
Vita haitaisha mpaka malengo yafikiwe waache nafo na shosti zao waendelee kupeleka machuma chuma yao
 
Marekani na washirika wake wa NATO walikaa miaka 20 Afghanistan wakiua wazee,wanawake,watoto na wasiojiweza nadhani huo kulikua ni ukosefu mkubwa wa maarifa.
Ila kwa sababu ni Marekani nadhani walikua Wana haki ya kujilinda.
Us ilikosa maarifa ya kuendelea kuidhibiti afghanistan period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…