mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Sema watu ni wasahaulifu tu au wanaendeshwa na ushabiki
Ukweli ni kwamba Putin halishasema tangu mwanzo kuwa ana missiles zenye uwezo wa kupiga popote nchi yoyote bila kipingamizi.
Watu wakamuona muongo anajigamba bure. Sasa katoa hiyo moja tu Oreshnik watu wanashangaa. Binafsi naamini bado ana surprises nyingi tu ambazo zitashangaza wengi. Putin siyo mjinga kuwavimbia NATO bila kujiandaa kikamilifu