Ina maana mwamba akitaka anaweza kusambaratisha ikulu ya Zele bila kipingamizi chochote. Yaan kwa hili kombora ni kama Ukraine nzima iko uchi kiulinzi, hakuna mfumo wa kuzuia kombora la OreshnikHali siyo nzuri ni tishio.
Putin aliahidi hatomuua Zelensky.Ina maana mwamba akitaka anaweza kusambaratisha ikulu ya Zele bila kipingamizi chochote. Yaan kwa hili kombora ni kama Ukraine nzima iko uchi kiulinzi, hakuna mfumo wa kuzuia kombora la Oreshnik
Hahaha siyo USA tena? maana kila shambulio wanajulishwa wao siyo NATO. Tusubirie USA ataamua vipi washambulie au waache. Huko UN hawana impact ni kama waimba kwaya kwenye msiba.Nami nikutoe wasiwasi tu nayajua yote hayo, tena pengine katika kiwango cha kukuzidi.
Na maamuzi yote yatafanyika baada ya kikao cha dharura cha NATO hiyo Jumanne ambacho kitajadili majaribio ya silaha mpya kutokea Urusi.
Good Day
Sasa Mkuu USA si ndiyo NATO yenyewe?Hahaha siyo USA tena? maana kila shambulio wanajulishwa wao siyo NATO. Tusubirie USA ataamua vipi washambulie au waache. Huko UN hawana impact ni kama waimba kwaya kwenye msiba.
Hahaha unajichanganya, sasa kama UN=USA, Iweje Israel Iwavimbie tena huko Gaza waajiri wake?Sasa Mkuu USA si ndiyo NATO yenyewe?
UN ni mwajiriwa wa US, hawezi kwenda kinyume na bosi. Ndiyo maana hata Israel wanawavimbia kule Gaza na hawana cha kufanya.
Wamerudia tena juzi,ila anajuta🤣Mbona Ukraine wamepoa hawajaendelea tena kutumia silaha zao za masafa marefu baada ya jaribio hilo moja tu?