Orientation week ni ya lazima au.!?

Wastage of time,me mwenyewe nina hisia za kudoj hiyo orientation..!kwanz tutakua hatuna boom,sasa si bora nilalie mgongo nyumbani
acha kujidanganya kwani umeshajua kama utakua na boom au la? ina umuhimu sana!
 

kwani ukiingia choo cha kike hautajisaidia si kuna tundu
 
for ths c lazma xana coz,sis 2po jesh 2meambiwa 2tapokelewa mda wowote ule kikubwa 2malze mafunzo tu.
 
Haina haja kama una mambo yako mengine endelea kufanya, its wastage of time,haiwezi kukuathiri hata kimasomo, by the way hakuna course work wala test ya orientation.
 
Hivi we #lugano upo jeshi gani hilo mpaka unaingia jf bila tabu....!!daa kweli cozy yenu ya kiblutu mno...mnatuvuna mno

nipo 822 kj muxoma,ci koz yetu imekaa kidijital zaid,tenah awamu ya 3 lazma mje na mabwen yanazd kunyanyuka kla cku
 
nipo 822 kj muxoma,ci koz yetu imekaa kidijital zaid,tenah awamu ya 3 lazma mje na mabwen yanazd kunyanyuka kla cku

Waje kufanya nini , wakati raia washaanza Kula Lecture,, Mfano SAUT
 
Jamani ni muhimu kuhudhuria orientation kuna mambo muhimu huwezi kupata boom ukiwa home
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…