wewe acha kufuata ratiba kwa kudhani walioiweka ni wajinga uone utakavyobabaika unapofika kwa kuchelewa, ukute wenzio wameshafanya Registration hadi za kozi then ukaonje utamu wa kuwagongea maprof na madk ili wakusainie fomu (sijui kama ni chuo kikuu au vya kata anyway) uone wanavyodengua na uone kama hujaingizwa choo cha kike kama wewe ni me au kinyume chake. Fuata ratiba iliyopangwa na wenye akili zaidi yako hawa wanaokudanganya humu kuwa sio muhimu hutawaona utakapokuwa unahangaika wakati wenzio wanapigwa lecture.