Orientation week ni ya lazima au.!?

Orientation week ni ya lazima au.!?

Wastage of time,me mwenyewe nina hisia za kudoj hiyo orientation..!kwanz tutakua hatuna boom,sasa si bora nilalie mgongo nyumbani
acha kujidanganya kwani umeshajua kama utakua na boom au la? ina umuhimu sana!
 
wewe acha kufuata ratiba kwa kudhani walioiweka ni wajinga uone utakavyobabaika unapofika kwa kuchelewa, ukute wenzio wameshafanya Registration hadi za kozi then ukaonje utamu wa kuwagongea maprof na madk ili wakusainie fomu (sijui kama ni chuo kikuu au vya kata anyway) uone wanavyodengua na uone kama hujaingizwa choo cha kike kama wewe ni me au kinyume chake. Fuata ratiba iliyopangwa na wenye akili zaidi yako hawa wanaokudanganya humu kuwa sio muhimu hutawaona utakapokuwa unahangaika wakati wenzio wanapigwa lecture.

kwani ukiingia choo cha kike hautajisaidia si kuna tundu
 
for ths c lazma xana coz,sis 2po jesh 2meambiwa 2tapokelewa mda wowote ule kikubwa 2malze mafunzo tu.
 
Haina haja kama una mambo yako mengine endelea kufanya, its wastage of time,haiwezi kukuathiri hata kimasomo, by the way hakuna course work wala test ya orientation.
 
nipo 822 kj muxoma,ci koz yetu imekaa kidijital zaid,tenah awamu ya 3 lazma mje na mabwen yanazd kunyanyuka kla cku

Waje kufanya nini , wakati raia washaanza Kula Lecture,, Mfano SAUT
 
Jamani ni muhimu kuhudhuria orientation kuna mambo muhimu huwezi kupata boom ukiwa home
 
Back
Top Bottom