Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ze comedy origino bado wanatesa kama kawa, wenye wivu mjinyonge!
Niliangalia kipindi cha wiki iliyopita sikuamini kwamba wanaweza kuigiza kumkashfu mgonjwa Banza Stone badala ya kutafuta namna ya kuieleza jamii namna ya kumsaidia badala ya kumzidishia machungu kwake na ndugu zake
Hili la Alhamis iliyopita la kumkashifu Lunyamila kuwa chokaa mbaya huku wakijua kuwa wanaangaliwa na macho ya wengi wanamjengea taswira gani. kwa jamii kama sio kuendelea kumuumiza zaidi. Hawa jamaa wamehama kwenye msingi wa kuelimisha na kuburudisha na kuwa watumikaji na watumwa wa watu.
Mbona malalamiiko hayaishi TBC1 kuna watu wenye exposure kama Susan Mushi na Tido mhando au kuna mkono wa mtu?
wewe kwa mtazamo wako TBC1 wanafanya kazi sawa sawa?Tido au hata Huyo Susan ni binadamu wanaweza kutumiwa vibaya, lakini lazima tuangalie masuala haya kwa undani zaidi tusije ingizwa kwenye vita isiyotuhusu.
ikipewa nafasi ya kwuahsuri orijino comedy ungewashaurije? tusijaze bandwidth toeni ushauri vijana wafanye nini......Kweli wamepoteza muelekeo. Sasa hivi imekuwa ni kuwacheka watu kuwa "wamefulia" wakiwa na maana kwamba walipata pesa wakazitumia vibaya badala ya kuwaelekeza wafanye nini sasa. Walikuwa wanaikosoa Serikali walivyokuwa EATV lakini sasa imekuwa ni kama michezo ya kitoto kabisa kwa mtu mzima huwezi kupoteza muda wako kuangalia. Walichemsha zaidi walipowatetea Mafisadi. Wamekwisha kabisa.
Siwalaumu kwa kuhama EATV ila huko walikoenda wamejimaliza wenyewe tena kwa muda mfupi sana. Huko unapangiwa nini cha kuonyesha kwa maslahi ya kituo.
wewe kwa mtazamo wako TBC1 wanafanya kazi sawa sawa?
Afadhali MIZENGWE wako juu na wale kweli wanajua wanachofanya.
WAJIREKEBISHE WANATUBOAAAAAAA!
ikipewa nafasi ya kwuahsuri orijino comedy ungewashaurije? tusijaze bandwidth toeni ushauri vijana wafanye nini......
Jibu lipo streit fowad ..waangalie maisha yao ya mbele. Udhamini wa mafisadi una ukomo. Haya kawaambie.
Ume hit...bull, Mizengwe wanafundisha na kuchekesha zaidi yao wale vilafi wa pesa, cha muhimu ni wapate mentor mzuri waende kujaza pale ITV
Ume hit...bull, Mizengwe wanafundisha na kuchekesha zaidi yao wale vilafi wa pesa, cha muhimu ni wapate mentor mzuri waende kujaza pale ITV