Orijino Comedi - Sasa Kwisha

Orijino Comedi - Sasa Kwisha

Ze comedy origino bado wanatesa kama kawa, wenye wivu mjinyonge!
 
Mwanzoni walikuwa wakifanya sanaa ya maana sanalakini sasa nadhani wanachofanya ni upuuzi ambao hauna maana. Hiki ni kipindi ambacho hakifai kurushwa kwa watizamaji wa rika zote, wanaongea matusi mabaya ambayo ni hatari kwa watoto.

Nadhani TBC1 hapana mtu ambaye anaangalia nini watu walishwe.

FISADI AKICHOKA KUKUTUMIA ATAKUFISADI
 
Niliangalia kipindi cha wiki iliyopita sikuamini kwamba wanaweza kuigiza kumkashfu mgonjwa Banza Stone badala ya kutafuta namna ya kuieleza jamii namna ya kumsaidia badala ya kumzidishia machungu kwake na ndugu zake

Hili la Alhamis iliyopita la kumkashifu Lunyamila kuwa chokaa mbaya huku wakijua kuwa wanaangaliwa na macho ya wengi wanamjengea taswira gani. kwa jamii kama sio kuendelea kumuumiza zaidi. Hawa jamaa wamehama kwenye msingi wa kuelimisha na kuburudisha na kuwa watumikaji na watumwa wa watu.
 
Mbona malalamiiko hayaishi TBC1 kuna watu wenye exposure kama Susan Mushi na Tido mhando au kuna mkono wa mtu?
 
Acheni hizo mlipo kuwa mnachekelea wakisema sura PM ni mbaya walikuwa wanaburudisha au wanaelimisha? Semeni tu dukuduku acheni kuzunguka..maslahi ya kibiashara kati ya Manji na Mengi PERIOD
 
Mbona malalamiiko hayaishi TBC1 kuna watu wenye exposure kama Susan Mushi na Tido mhando au kuna mkono wa mtu?

Mkuu huu pia ni uwanja mwingine wa mapambano FAKE ya ufisadi na TBC watakuwa ni victim tu. Kuna suala la maslahi ya kibiashara ya mzee mengi yameguswa na yule mzee ni NGULI wa kucheza na mind za watu na sasa naona amehamishia mapambano yake kwa TBC.
N.B
Tido au hata Huyo Susan ni binadamu wanaweza kutumiwa vibaya, lakini lazima tuangalie masuala haya kwa undani zaidi tusije ingizwa kwenye vita isiyotuhusu.
 
Kweli wamepoteza muelekeo. Sasa hivi imekuwa ni kuwacheka watu kuwa "wamefulia" wakiwa na maana kwamba walipata pesa wakazitumia vibaya badala ya kuwaelekeza wafanye nini sasa. Walikuwa wanaikosoa Serikali walivyokuwa EATV lakini sasa imekuwa ni kama michezo ya kitoto kabisa kwa mtu mzima huwezi kupoteza muda wako kuangalia. Walichemsha zaidi walipowatetea Mafisadi. Wamekwisha kabisa.
Siwalaumu kwa kuhama EATV ila huko walikoenda wamejimaliza wenyewe tena kwa muda mfupi sana. Huko unapangiwa nini cha kuonyesha kwa maslahi ya kituo.
 
Tido au hata Huyo Susan ni binadamu wanaweza kutumiwa vibaya, lakini lazima tuangalie masuala haya kwa undani zaidi tusije ingizwa kwenye vita isiyotuhusu.
wewe kwa mtazamo wako TBC1 wanafanya kazi sawa sawa?
 
Kweli wamepoteza muelekeo. Sasa hivi imekuwa ni kuwacheka watu kuwa "wamefulia" wakiwa na maana kwamba walipata pesa wakazitumia vibaya badala ya kuwaelekeza wafanye nini sasa. Walikuwa wanaikosoa Serikali walivyokuwa EATV lakini sasa imekuwa ni kama michezo ya kitoto kabisa kwa mtu mzima huwezi kupoteza muda wako kuangalia. Walichemsha zaidi walipowatetea Mafisadi. Wamekwisha kabisa.
Siwalaumu kwa kuhama EATV ila huko walikoenda wamejimaliza wenyewe tena kwa muda mfupi sana. Huko unapangiwa nini cha kuonyesha kwa maslahi ya kituo.
ikipewa nafasi ya kwuahsuri orijino comedy ungewashaurije? tusijaze bandwidth toeni ushauri vijana wafanye nini......
 
Mathalan ukilinganisha kipindi chao cha Alhamisi iliyopita na kile cha FUTUHI utaona ni kwa jinsi gani wameshuka kiwango. Kwenye kipengele cha mabomu ya Mbagala FUTUHI walitumia bongo zaidi kuliko Orijino Comedi. Kinachowasaidia kwa sasa ni Goodwill ambayo walishaitengeneza vinginevyo ni kwisha kabisa kidhana japo Mkwanja wanaudaka vilivyo
 
wewe kwa mtazamo wako TBC1 wanafanya kazi sawa sawa?

Kwakuwa swali lako ni broad na mimi nitalijibu hivyo hivyo, kwanza kwa chombo cha habari kufanya kazi sawasawa kwangu mimi ni kuwa objective katika kutoa taarifa zake. Pili najua kuwa TBC wanapata ruzuku kutoka katika serikali sasa kuwa objective hawawezi ukizingatia methali ya kiswahili mkono unaokulisha usiuume. Hitimisho langu ni kuwa hawfanyi kazi sawa sawa.
ANGALIZO LANGU
Kutokufanya kazi sawasawa kwa TBC si kwa sababu eti TiDO ni mwana mtandao ila ni mfumo mzima wa funding public coorpration unaotoa mwanya kwa watawala kuutawala..Awe mwana mtandao au mwingine hii loophole ataitumia tu. Tubadilishe KATIBA kuepuka hizi zahma.
 
Kama kawaida tunaanzisha vitu vizuri then vinakufa natural death
 
Hapa si bure, kwanini watu wale wale waliokuwa na wataokuwa (milele) wakimuunga mkono Bwana Mengi ndo hao hao wanaoponda TBC1, sasa naanza kuamini ile thread ya walio kwenye payroll inaukweli wake. Hao ze comedy kwa taarifa yenu wamechoka wenyewe wala hakuna anayewagusa.

Kama mnakumbuka wakati wakifanya marejeo ya funga mwaka, waliwahi kuonyesha baadhi ya stori zilizopigwa stop mfano ile ya kijana aliyekunywa dawa ya Mkuyati baada kuahidiana na demu matokeo yake demu kaingia mitini na dawa ikawa imekolea...wenyewe walidai ilipigwa chini kutokana na maadili na kweli watu wengi walilalamika baada ya kwenda hewani. Mi naanza kuwatilia wasi wasi watu wanaoingiza mkono TBC si bure.....nani asiyejua TBC ya sasa tofuati ya miaka hiyo. Hawa madogo wa ze comedy wanaendekeza sana starehe badala ya kazi ndo maana hawana jipya.

Zamani walikuwa wakitumiwa visa na watu kupitia email na hata kupigiwa simu, sasa hivi hawana email wala mawasiliano ya moja kwa moja na wahusika, wanatakiwa kukaa chini na kuweka mikakati mipya ya kukupata visa maana sasa wamekuwa wakibudi na kusikilizia kutoka kwenye magazeti yetu ambayo mengi sasa yamegeuka kuwa mipasho kama ya udaku mkubwa. Mtazamo wangu mimi nafikiri wale vijana wako fit ila wameishiwa mbinu za kupata mikasa, pia ukumbuke kuwa wale sasa ni celebrity si silahi kujichanganya na watu ovyo, cha msingi waunde timu ya watafiti kufuatilia kinachoendelea katika jamii na wao wabaki na umaarufu wao wa kuuza sura.

Kuhusu hoja ya tamaa ya pesa, haina mashiko wale wako kwenye business bwana ile sio NGOs....Mi nashauri tuache kubuni mambo kwa vile tunavyo yaona kwa nje, look for evidences.
 
Afadhali MIZENGWE wako juu na wale kweli wanajua wanachofanya.

WAJIREKEBISHE WANATUBOAAAAAAA!

Ume hit...bull, Mizengwe wanafundisha na kuchekesha zaidi yao wale vilafi wa pesa, cha muhimu ni wapate mentor mzuri waende kujaza pale ITV
 
ikipewa nafasi ya kwuahsuri orijino comedy ungewashaurije? tusijaze bandwidth toeni ushauri vijana wafanye nini......

Jibu lipo streit fowad ..waangalie maisha yao ya mbele. Udhamini wa mafisadi una ukomo. Haya kawaambie.
 
Jibu lipo streit fowad ..waangalie maisha yao ya mbele. Udhamini wa mafisadi una ukomo. Haya kawaambie.

Sawa labda kwa huruma zako mzee ungemtajia wadhamini hata wawili ambao si mafisadi ili akawatajie nadhani itarahisha badala kuwaambia tu waachane na mafisadi.
 
Ume hit...bull, Mizengwe wanafundisha na kuchekesha zaidi yao wale vilafi wa pesa, cha muhimu ni wapate mentor mzuri waende kujaza pale ITV

Si bure....huu ni mkakati mwingine wa Mzee Mzima
 
hawa orijino komedi wamekosa ubunifu wa kuleta mambo ya kusisimua wateja wake,unapoona wasanii wa nchi za nje wamekuwa mabilionea kwa ajili ya muziki,vichekesho n.k. usifikiri walipewa hizo pesa kimdebwedo la hasha,walikaa chini wakaumizwa vichwa wakatunga vitu vyenye kuendana na sayansi ya sanaa,hawa jamaa wamefika mwisho wao wa ubunifu na pia wamekosa akili ya kutambua jema na baya,juzi alhamisi niliangalia kipindi chao walipomponda mzee mengi wakisahau kwamba mzee mengi ndio aliwatoa kwneye umaskini na ushamba na kuwapa kazi iliyowapatia umaarafu kwa muda mchache,sasa mtu aliyekupa mafanikio unamdhalilisha hii haileti maana hata kidogo,hata mtoto mdogo akipewa peremende na mkubwa wake anasema asante.
wangekuwa wamemtoa mengi kwa ajili ya kisanii ingeonyesha wazi lakini kwa mtu mwenye akili timamu kipindi cha juzi kilimshambulia mengi kwa kuonyesha chuki kubwa dhidi yake,hii itawafanya waporomoke kupata sapoti ya wananchi.
hawa vijana wanawatetea mafisadi wahindi dhidi ya mengi mzalendo wa nchi hii,wangekuwa zimbabwe mugabe angewafunga!
 
Back
Top Bottom