Orijino Komedi kufungwa mwezi mmoja au faini ya shilingi mia mbili

Orijino Komedi kufungwa mwezi mmoja au faini ya shilingi mia mbili

barafu acha kuandika taarifa za uwongo orijino komedi wameshaomba msamaha kupitia kwa mwenzao Masanja wameachiwa huru ila wapewa onyo wasirudie tena kuvaa zile nguo za polisi bila kuwa kibali maalumu
basi yaelekea na Polisi nao wamekiona hicho kifungu ikabidi wawe wapole.

Maana unapeleka kesi mahakamani unatumia gharama kubwa mwisho wa siku Faini sh 200!!!!!!
 
Back
Top Bottom